Siku zote tunasema CCM kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi namba 1 hapa nchini

Hence wakina Kangi na boss wao wapo right kufanya mikataba bila consent ya bunge
 
Hence wakina Kangi na boss wao wapo right kufanya mikataba bila consent ya bunge

Kisheria wanapaswa kupitia huko bungeni,lakini kama bunge limeacha wajibu wake na kugeuka kuwa dhehebu la kumsifia Magufuli na kutii kila jambo la serikali, nani ataheshimu bunge la hivyo?
 
Kubadili gia angani sio unafiki? Leo fisadi kuu kesho anafaa kuwa rais, huu sio ufisadi?
Lowasa tayari karudi huku kwetu CCM kwenye fisadis wenziwe... kule upinzani aliona anabaniwa tu na wagumu kina Mbowe!
 
CCM ndio inayoongoza nchi sasa ulitegemea kama kuna huo unaouita uhujumu uchumi ufanywe na chadema? Chadema wanahujumiwa na Mbowe & family!

Na katika kuongoza, ndio wanazidi kufanya ufisadi!
Huko kutumbuana ni kwa sababu mkubwa labda kazungukwa au kuna mwingine ana maslahi yake zaidi anaona atayakosa, hivyo basi pengine kwa kuwa yeye ndiye mkubwa namba moja anaamua kutoa kafara au janja janja flani hivi...
Kiujumla wote ni mafisadi!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kuna Mjumbe Wa mtaani katapeli 2.3m za kikundi
 
Kisheria wanapaswa kupitia huko bungeni,lakini kama bunge limeacha wajibu wake na kugeuka kuwa dhehebu la kumsifia Magufuli na kutii kila jambo la serikali, nani ataheshimu bunge la hivyo?
Tuwe honest kidogo.

Ukondoo wa wabunge kutii kila kitu una tofauti gani na ukondoo wa wananchi wa Tz at large?
 
Wananchi wanatunga sheria? Wananchi wana uwezo wa kuisimamia na kuishauri serikali?
Nope
they do none of the above.

But viongozi tulionao ni reflection ya wananchi walio wengi.
Uongo?
 
Dada uongo hupanda lift bali ukweli hukwea ngazi

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…