Sikuabliani na Magufuli kuhusu somo la Historia. Kama ni Uzalendo, watoto watajifunza kwenye somo la URAIA

Historia ya kinjekitile ngwalu na mangungo imekusaidiaje kuwa mzalendo?
Historia ya Tanzania Ni pana kuliko hao uliowataja.Tena wanatajwa sehemu ndogo Sana katika Historia kidato Cha tatu.Tatizo sisi wabongo wajuaji Sana.
 
ni kipi ambacho wewe binafsi hujasomeshwa shuleni kuhusu historia ya Tanzania hadi liletwe somo jipya ?
Isome comment yangu na kile nilichimjibu mleta mada fanya tafakuri utaelewa naona hujaelewa bado.Kama unahitaji mawazo kwenye hili sawa.
 
Historia ya Tanzania Ni pana kuliko hao uliowataja.Tena wanatajwa sehemu ndogo Sana katika Historia kidato Cha tatu.Tatizo sisi wabongo wajuaji Sana.
Kwahiyo unataka iwataje wengi wengine? Akina Pinda, Lugola, msukuma, na Majimarefu wawemo? Ndo itajenga uzalendo?
 
Kwahiyo unataka iwataje wengi wengine? Akina Pinda, Lugola, msukuma, na Majimarefu wawemo? Ndo itajenga uzalendo?
Labda bandiko lako likngekuja baada ya kusoma hiyo Historia inayoandikwa kwanza alafu tuje tujadiliane mkuu.
 
hujajibu swali, baada ya kusoma historia za hao niliowataja, imekusaidiaje kwenye uzalendo/
Hakuna swali hapo,labda wewe ndo uelewi kuwa hao wanatajwa kwenye Historia na sio kusomwa.Unaelewa maana ya kusomwa?
 
Hakuna swali hapo,labda wewe ndo uelewi kuwa hao wanatajwa kwenye Historia na sio kusomwa.Unaelewa maana ya kusomwa?
sasa kama kutajwa sio kusomwa, hilo somo mnalotaka kuanzisha litakuwa la practical kwamba tutakuwa tunawashika kabisa na sio kuwataja (theory)
 
Labda bandiko lako likngekuja baada ya kusoma hiyo Historia inayoandikwa kwanza alafu tuje tujadiliane mkuu.
Mkuu hoja yangu ni kwamba historia kamwe haijengi uzalendo. Kwasabb tumesoma vitabu vingi na tumewasoma watu wengi walioqndikwa na waandishi mbalimbali kama sehemu ya historia ya nchi hii lkn bado watu wana hasira Sana na nchi hii.

Magufuli qnatafuta sifa za kijinga tu
 
sasa kama kutajwa sio kusomwa, hilo somo mnalotaka kuanzisha litakuwa la practical kwamba tutakuwa tunawashika kabisa na sio kuwataja (theory)
Akikujibu unitag. Swali zuri sana hili
 
sasa kama kutajwa sio kusomwa, hilo somo mnalotaka kuanzisha litakuwa la practical kwamba tutakuwa tunawashika kabisa na sio kuwataja (theory)
Kwani umeambiwa humo wamo hao unaowajua wewe?Au kwa Sababu aliyetoa wazo ndie una allergy nae.Subiri ianze ndo mtoe maoni.Mimi sioni ubaya wowote ila ningeshauri iliyoki iboreshwe iingizwe hiyo Historia ya Tanzania maana imeminywa Sana.
 
Hebu sema umewahi kumpinga kwa lipi mpaka uonyeshe asipingwe kwa kila kitu.
 
Mkuu tunapishana kwenye hiyo sentence kuwa Historia haijengi uzalendo.Hapo nitaendelea kupinga mkuu ndani ya Historia ndio Kuna spirit ya patriotism.Historia ni muhimu kwa kizazi Cha Leo na kesho katika kujenga uzalendo.
 
Wewe na wajinga wenzio ni mizigo kwenye hii Nchi watu wenye akili wanawaza namna gani wagundue vitu visaidie dunia nyie mnaleta upumbafu wa historia jinga kabisa

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app

Ahaaaa ahaaaa, hilo somo la historia linaletwa ili kufundisha watu uoga na kusujudu viongozi wezi wa Kura.
 
Mkuu tunapishana kwenye hiyo sentence kuwa Historia haijengi uzalendo.Hapo nitaendelea kupinga mkuu ndani ya Historia ndio Kuna spirit ya patriotism.Historia ni muhimu kwa kizazi Cha Leo na kesho katika kujenga uzalendo.

Viongozi wote wezi wa nchi hii wamesoma historia mbona hawana uzalendo? Hilo somo la uzalendo wakadundishane wanaccm ndio wana muda wa kulishana uzalendo uchwara.
 
kwani ushakubaliana na chochote kuhusu magufuli since you were born? si kila sku kuponda ndo kazi yako
 
Kwani umeambiwa humo wamo hao unaowajua wewe?Au kwa Sababu aliyetoa wazo ndie una allergy nae.Subiri ianze ndo mtoe maoni.Mimi sioni ubaya wowote ila ningeshauri iliyoki iboreshwe iingizwe hiyo Historia ya Tanzania maana imeminywa Sana.
tatizo lako ni uelewa, nimekuuliza uniambia umepata faida gani kuwasoma hao ili kujustify kelele zenu kuwa kuwafundisha watoto historia ya tanzania ndio kuwafanya wawe wazalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…