Michango yakokufuatilia kumsujudia yesu wa ccm inafahamika.
Naona ni muhimu watoto wetu kujua historia kwani hawa mabeberu hawataki wajue madhambi waliyo yafanya kwa vizazi vilivyopita, na ni muhimu kuenzi yaliyo pita ili kujua wapi tunaelekea.Lengo kubwa la somo la historia ni kumfanya mwanadamu ajifunze yaliyopita ulimwenguni kote (siyo Tanzania tu) na hivyo kumwepusha kurudia makosa ya huko nyuma. Na wala siyo kufundisha uzalendo.
BTW, nani kamdanganya JPM kuwa uzalendo unafundishwa darasani? Uzalendo maana yake ni upendo wa raia yeyote kwa nchi yake?
Sasa nani amewahi kufundishwa kupenda kitu, mtu(mke/mume/dada/kaka/baba/mama) au nchi? Upendo kwa nchi ni zao la Uhuru, Haki na usawa kwa raia.
Sasa kama hata haki ya kuchagua na kuchaguliwa inaporwa nani ataipenda nchi hii? Kama watu wanalalamika kuhusu ajira, mishahara duni masoko ya mazao hakuna, biashara zinakufa, Uhuru wa kujieleza unabinywa nani ataipenda Tanzania?
Kwahiyo hapa ninaona JPM ana nia ya kutaka jina lake liandikwe kwenye vitabu vya historia, awe anasomwa kama msukuma wa kwanza kuwa rais.
Ndiyo hicho tu anachokitafuta JPM hakuna kingine. Kutafuta sifa tu ndiyo kuna msumbua. Ningemwelewa kama angeshauri uzalendo utiliwe mkazo kwenye somo la uraia.
Hapa naamua kuwa OBJECTIVE, somo la history ndilo linalompa mtu "sprit of Patriotism "
Hiyo ni moja ya OBJECTIVE ya somo la HISTORIA.
Mathalani Kitendo cha MKWAWA,BWANA HERI,ABUSHIRI ,YUSUPH BIN OMARY MAKUNGANYA,KINJEKETILE, Kuupinga utawala wakoloni kwa kuchukua silaha.
Wanafunzi wansposoma ,wanahamasika kabisa ,wanakuwa inspired kuipigania nchi, kuipenda wakitumia mfano mzuri wa hao mashujaa waafrikawaloishi miaka ya 1880's
Mh Rais kama kazungumzia kuwa somo la history linawajenga watu kuwa wazalendo YUPO SAHIHI asilimia 100%.
Kuhusu Civics somo la Uraia kiasi kikubwa linabase kwenye haki za Raia na wajibu.
MIMI NI MWALIMU MTAALAMU WA MASOMO HAYO MAWILI.
2018 nilifaulisha civics na darasa langu lilikiwa 20 kitaifa,2019 History tena 20 kitaifa.
Nimetoa maoni kama Mtaalamu mbobezi katika masomo hayo.
Katika kauli ya Rais yupo sahihi 100% tusiwe tunampinga kwa kila kitu,mambo mengine tuwe OBJECTIVE.
UKANA SHILUNGO.[emoji120][emoji120][emoji120]
Historia ya kinjekitile ngwalu na mangungo imekusaidiaje kuwa mzalendo?
hiyo sehemu ndogo wanayotajwa imekusaidia nini katika kujenga uzalendo?Una matatizo ya kuelewa wewe.Nimekujibu hao hawasomwi wanatajwa kwa sehemu ndogo sana.Alafu hata utoe povu hapa utobadilisha chochote na mwanao atasoma.Kama hutaki hama nchi.
kusoma historia ya nchi na kuwa mzalendo ni vitu viwili tofauti.Mkuu paragraph ya kwanza si kweli kwamba Historia haimfanyi mtu kuwa Mzalendo,moja ya faida ya Historia ni kuwafanya watu wawe wazalendo na nchi yao.Mtu hawezi kuwa Mzalendo hasipojua ilikopitia nchi yake Mpaka pale ilipofikia.
Mengine hutajua mwenyewe.
akikujib nitag? naona mtu anazunguka mbuyu hana jibu la swali lenyewehiyo sehemu ndog wa
hiyo sehemu ndogo wanayotajwa imekusaidia nini katika kujenga uzalendo?
hii concept " hakuna uzalendo ukiwa broke" ina reflect modern society.. na ni kweli.Nah hakuna, utakuwa mzalendo wakati ur broke
mwaka 2025 ndo utakuwa mwaka wake wa mwisho kufundishwa mashuleni hata joisi anajua kakubali basi tu yaishe,Itoshe kusema hilo somo limeanzishwa kwa kukurupuka na kutafuta sifa zisizo na tija.
According to your narrow level of interpreting things!Ww mbona maelezo yako uko Subjective like wth
Hapo nadhani tatizo lilikuwa mtihani... tafakariKwani anajua kama watoto tayari wanasoma somo la Uraia?
Maajabu hayaishi nchi hii. Form four mwaka jana 80% ya walipata F kweny somo la hesabu! Lakini hili hata halimsumbui kabisa.
According to your narrow level of interpreting things!
Due lack of OBJECTIVITY and PARTICULARLITY![emoji55][emoji55][emoji55][emoji2][emoji2][emoji2]