Sikuabliani na Magufuli kuhusu somo la Historia. Kama ni Uzalendo, watoto watajifunza kwenye somo la URAIA

Sikuabliani na Magufuli kuhusu somo la Historia. Kama ni Uzalendo, watoto watajifunza kwenye somo la URAIA

Civics(uraia)
History (historia)
Tanzania History (historia ya Tanzania)
Naona bado Mzigo unaongezwa tu kwa watt ,...
Binafsi naona zte hizo n history ,Wangeanzisha Somo la UJASILIAMALI tu Hap huend lingewasaidia Hawa vijana baada ya kuhitimu masomo kugundua fursa
 
Hapana jaribu kufuatilia michango yangu! That's why nikasema naomba niwe OBJECTIVE issue ya HISTORY!
LABDA WEWE NDO UNAMWABIDU ...HUYO ULOMTAJA
Michango yakokufuatilia kumsujudia yesu wa ccm inafahamika.
 
Lengo kubwa la somo la historia ni kumfanya mwanadamu ajifunze yaliyopita ulimwenguni kote (siyo Tanzania tu) na hivyo kumwepusha kurudia makosa ya huko nyuma. Na wala siyo kufundisha uzalendo.

BTW, nani kamdanganya JPM kuwa uzalendo unafundishwa darasani? Uzalendo maana yake ni upendo wa raia yeyote kwa nchi yake?

Sasa nani amewahi kufundishwa kupenda kitu, mtu(mke/mume/dada/kaka/baba/mama) au nchi? Upendo kwa nchi ni zao la Uhuru, Haki na usawa kwa raia.


Sasa kama hata haki ya kuchagua na kuchaguliwa inaporwa nani ataipenda nchi hii? Kama watu wanalalamika kuhusu ajira, mishahara duni masoko ya mazao hakuna, biashara zinakufa, Uhuru wa kujieleza unabinywa nani ataipenda Tanzania?

Kwahiyo hapa ninaona JPM ana nia ya kutaka jina lake liandikwe kwenye vitabu vya historia, awe anasomwa kama msukuma wa kwanza kuwa rais.

Ndiyo hicho tu anachokitafuta JPM hakuna kingine. Kutafuta sifa tu ndiyo kuna msumbua. Ningemwelewa kama angeshauri uzalendo utiliwe mkazo kwenye somo la uraia.
Naona ni muhimu watoto wetu kujua historia kwani hawa mabeberu hawataki wajue madhambi waliyo yafanya kwa vizazi vilivyopita, na ni muhimu kuenzi yaliyo pita ili kujua wapi tunaelekea.
 
Nchi hii inaongozwa kwa matamko ya wanasiasa...somo linaanzishwa kwa utashi wa mwanasiasa..kakaa anakunywa chai kapata wazo badala ya kufanyika tafiti na wizara husika on the relevance of the subject matter. Wanatoa masomo muhimu kabisa kama Computer science and adv math wanaleta upuuzi wa historia ya Tanzania.
 
Eiiii ni wazo la nqni ilo kali buni ? Maana elimu yetu ina butuliwa kamanmpira wa kona
Back in the day kulikuwa nanphysics with chemistry 😆😆😆 ila hii nchi decision makers wetu bwanaa
 
Mabeberu wakae mguu sawa, wazalendo wanapikwa, nafikiri kutakuwa na topic mahsusi MABEBERU, mashindano ya essays za beberu😂 😂

Everyday is Saturday................................😎
 
Hapa naamua kuwa OBJECTIVE, somo la history ndilo linalompa mtu "sprit of Patriotism "

Hiyo ni moja ya OBJECTIVE ya somo la HISTORIA.
Mathalani Kitendo cha MKWAWA,BWANA HERI,ABUSHIRI ,YUSUPH BIN OMARY MAKUNGANYA,KINJEKETILE, Kuupinga utawala wakoloni kwa kuchukua silaha.

Wanafunzi wansposoma ,wanahamasika kabisa ,wanakuwa inspired kuipigania nchi, kuipenda wakitumia mfano mzuri wa hao mashujaa waafrikawaloishi miaka ya 1880's

Mh Rais kama kazungumzia kuwa somo la history linawajenga watu kuwa wazalendo YUPO SAHIHI asilimia 100%.

Kuhusu Civics somo la Uraia kiasi kikubwa linabase kwenye haki za Raia na wajibu.

MIMI NI MWALIMU MTAALAMU WA MASOMO HAYO MAWILI.

2018 nilifaulisha civics na darasa langu lilikiwa 20 kitaifa,2019 History tena 20 kitaifa.

Nimetoa maoni kama Mtaalamu mbobezi katika masomo hayo.

Katika kauli ya Rais yupo sahihi 100% tusiwe tunampinga kwa kila kitu,mambo mengine tuwe OBJECTIVE.

UKANA SHILUNGO.[emoji120][emoji120][emoji120]

Ww mbona maelezo yako uko Subjective like wth
 
JKT tu imeshindwa kufanya vijana wa kidato cha sita kuwa wazalendo. Ndio hilo somo la historia ??

Uzalendo ni mazoea jumlisha mapenzi.
 
hiyo sehemu ndog wa
Una matatizo ya kuelewa wewe.Nimekujibu hao hawasomwi wanatajwa kwa sehemu ndogo sana.Alafu hata utoe povu hapa utobadilisha chochote na mwanao atasoma.Kama hutaki hama nchi.
hiyo sehemu ndogo wanayotajwa imekusaidia nini katika kujenga uzalendo?
 
Mkuu paragraph ya kwanza si kweli kwamba Historia haimfanyi mtu kuwa Mzalendo,moja ya faida ya Historia ni kuwafanya watu wawe wazalendo na nchi yao.Mtu hawezi kuwa Mzalendo hasipojua ilikopitia nchi yake Mpaka pale ilipofikia.
Mengine hutajua mwenyewe.
kusoma historia ya nchi na kuwa mzalendo ni vitu viwili tofauti.
toka nchi hii ianze historia ya nchi tumesoma miaka nenda miaka rudi. wengine mpaka chuo kikuu.
imeleta uzalendo ? not 100%

uzalendo ni mapenz ya mtu kwa nchi yake. na mapenz haya huja yenyewe bila kulazimishwa.
huwez mlazimisha mtu kuwa mzalendo hata siku moja.
leo hii wazungu ni wazalendo kwa nchi zao sio kwa sababu hawasomi history za nchi zao.. no.
sababu kuna transparency na uwajibikaji kwa viongozi wao.

si kwa kulazimishwa.
 
Mkuu kaona mapungufu historia inayo fundishwa imeishia kwa mwinyi awamu pili haya mengine yapo kwenye uraia kuanzishwa kwa mfumo vyama vingi 1992 na nk
 
Kwani anajua kama watoto tayari wanasoma somo la Uraia?

Maajabu hayaishi nchi hii. Form four mwaka jana 80% ya walipata F kweny somo la hesabu! Lakini hili hata halimsumbui kabisa.
Hapo nadhani tatizo lilikuwa mtihani... tafakari
80% kupata F haina maana watoto na waalimu wao nchi nzima walikuwa wajinga kiasi hicho. Naamini wachambuzi wa maswali walifanya marekebisho mabovu.
Navyo fahamu mitihani ya taifa hutokana na uchambuzi wa maswali yanayoletwa kwenye baraza la mitihani na waalimu wabobezi toka shule bora kisha hufanyika marekebisho kidogo kuyafanya yawe fikirishi... Na hapo ndio tatizo hutokea.

Yanaweza kuwa fikirishi mpaka yakawapoteza watoto wasijue swali linawataka wajibu kipi.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
According to your narrow level of interpreting things!
Due lack of OBJECTIVITY and PARTICULARLITY![emoji55][emoji55][emoji55][emoji2][emoji2][emoji2]

Seriously? You don’t even know me haaf ww ulisema n teacher sasa mbona una errors kwenye grammar plz what are you [emoji28]
 
Back
Top Bottom