Sikuamini nilipoambiwa kuwa Senzo aliondoka na ramani ya usajili, sasa nimeamini

Sasa ndugu yangu kama issue beki na forward mbona Ndicho kilicho fanywa?

Tena wame sajiri beki wawili mmoja kutoka Kenya joash...
Forward amenikosha. Beki sijaridhika. Ila kwa maoni yangu.
 
Utopolo 🐸🐸🐸 mnapata tabu sana na usajili wa Simba, jipangeni na nyie msajili.
 
Mo alisema kuna siku watu wote watashangilia Simba, wameaanza sasa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wanahama yanga wanakuja Simba, mfano huyu ndugu yako
 
Mo alisema kuna siku watu wote watashangilia Simba, wameaanza sasa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wanahama yanga wanakuja Simba, mfano huyu ndugu yako
Inawezekana alikua Yanga kujificha sasa anataka kurudi kipindi kile mlipofulia
 
Nawapongeza Simba kwenye usajili wao upo vizuri. Watu japo wanabeza lakini kiukweli kusajili wachezaji wa gharama kubwa kama vilabu vikubwa Afrika Al Haly, Oralndo Pirates, n.k.

Bado sana hatujafika huko kwani itatuchukua muda mrefu na uwekezaji mkubwa sana. Kwa mfano Simba ilipomuhitaji Walter Bwalya dau lake lilikuwa ni zaidi ya millioni 800 Simba ikashindwa.

Kwa hiyo basi suala la kubwa hapa ni kutumia wachezaji hawa hawa wa daraja la kati kupambana na hao vigogo na inawezekana kwani tumeshaona Al Haly, As Vita na Soura walikaa uwanja wa Taifa kwenye Champions League.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…