Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Huu ndiyo ukweli wangu. Binafsi naumia sana kuona mipango mhimu kama elimu inafanywa bila utaratibu.
Majengo mengi yaliyojengwa na wananchi yapo chini ya kiwango na bado Serikali inaendelea na utaratibu huu wa hovyo. How can we be safe?
Pesa za umma zitumike kwenye elimu, afya na ulinzi.
Tofauti kubwa nayoiona huu utaratibu wa kuchangia gharama za ujenzi ndiyo umeharibu suala la Serikali katika kutimiza majukumu yake.