Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Una elimu gan?kama unalo lalamikia ni daraja la busisi -kigongo mwanza kwa kweli wewe nunaa na uzire adi upasukee tuu, daraja hili ni lzima lijengwe tuu
sijui kama unajua adi leo hii bado kuna miundo mbinu mizuri tuu ya madaraja, barabara, hata na hata majengo & reli iliyojengwa na wakoloni na adi leo hii bado inatumika na bado ni msaada mkubwa kwa Maisha ya kila siku kwa watanzania
Ebu toeni hapa siasa zenu za ukanda na ujinga ujinga apaaa, nyambafuu,
Wewe ndiyo mkanda umeona wapi nimepoint ukanda! We ni hasara kwa mumeo.kama unalo lalamikia ni daraja la busisi -kigongo mwanza kwa kweli wewe nunaa na uzire adi upasukee tuu, daraja hili ni lzima lijengwe tuu
sijui kama unajua adi leo hii bado kuna miundo mbinu mizuri tuu ya madaraja, barabara, hata na hata majengo & reli iliyojengwa na wakoloni na adi leo hii bado inatumika na bado ni msaada mkubwa kwa Maisha ya kila siku kwa watanzania
Ebu toeni hapa siasa zenu za ukanda na ujinga ujinga apaaa, nyambafuu,
Vipi wale waliowataka wananchi masikini wachangie mikutano yao ya kisiasa huku wakiwa tayar wameshakusanya mamilioni ya michango wa wabunge jumlisha na ruzuku ya chama iliyokuwa inakusanywa kila mwezi? Au lile la michango ya mikutano ya siasa haukuliona?Huu ndiyo ukweli wangu. Binafsi naumia sana kuona mipango mhimu kama elimu inafanywa bila utaratibu.
Majengo mengi yaliyojengwa na wananchi yapo chini ya kiwango na bado Serikali inaendelea na utaratibu huu wa hovyo. How can we be safe?
Pesa za umma zitumike kwenye elimu, afya na ulinzi.
Tofauti kubwa nayoiona huu utaratibu wa kuchangia gharama za ujenzi ndiyo umeharibu suala la Serikali katika kutimiza majukumu yake.
Ficha ujinga mkuukama unalo lalamikia ni daraja la busisi -kigongo mwanza kwa kweli wewe nunaa na uzire adi upasukee tuu, daraja hili ni lzima lijengwe tuu
sijui kama unajua adi leo hii bado kuna miundo mbinu mizuri tuu ya madaraja, barabara, hata na hata majengo & reli iliyojengwa na wakoloni na adi leo hii bado inatumika na bado ni msaada mkubwa kwa Maisha ya kila siku kwa watanzania
Ebu toeni hapa siasa zenu za ukanda na ujinga ujinga apaaa, nyambafuu,
michango ile si ilkuwa hiyari au hujui huko kishapu usipotoa 70k ya kujenga madarasa kwa ajili ya elimu bure unakula pingu?Vipi wale waliowataka wananchi masikini wachangie mikutano yao ya kisiasa huku wakiwa tayar wameshakusanya mamilioni ya michango wa wabunge jumlisha na ruzuku ya chama iliyokuwa inakusanywa kila mwezi? Au lile la michango ya mikutano ya siasa haukuliona?
Unasema daraja imetumia 460million kununua gari la mkurugenzi
Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe.Huu ndiyo ukweli wangu. Binafsi naumia sana kuona mipango mhimu kama elimu inafanywa bila utaratibu.
Majengo mengi yaliyojengwa na wananchi yapo chini ya kiwango na bado Serikali inaendelea na utaratibu huu wa hovyo. How can we be safe?
Pesa za umma zitumike kwenye elimu, afya na ulinzi.
Tofauti kubwa nayoiona huu utaratibu wa kuchangia gharama za ujenzi ndiyo umeharibu suala la Serikali katika kutimiza majukumu yake.
kama unalo lalamikia ni daraja la busisi -kigongo mwanza kwa kweli wewe nunaa na uzire adi upasukee tuu, daraja hili ni lzima lijengwe tuu
sijui kama unajua adi leo hii bado kuna miundo mbinu mizuri tuu ya madaraja, barabara, hata na hata majengo & reli iliyojengwa na wakoloni na adi leo hii bado inatumika na bado ni msaada mkubwa kwa Maisha ya kila siku kwa watanzania
Ebu toeni hapa siasa zenu za ukanda na ujinga ujinga apaaa, nyambafuu,
Kwani ni sh. ngapi?Hata zile pesa zilizotumika kununua Madiwani na Wabunge Nchi nzima, zingetosha kuongeza Madarasa Nchi nzima!
Ilitakiwa wananchi tuchangie ujenzi wa madaraja halafu serikali ijenge madarasa kwa fedha za mapato ya ndaniHuu ndiyo ukweli wangu. Binafsi naumia sana kuona mipango mhimu kama elimu inafanywa bila utaratibu.
Majengo mengi yaliyojengwa na wananchi yapo chini ya kiwango na bado Serikali inaendelea na utaratibu huu wa hovyo. How can we be safe?
Pesa za umma zitumike kwenye elimu, afya na ulinzi.
Tofauti kubwa nayoiona huu utaratibu wa kuchangia gharama za ujenzi ndiyo umeharibu suala la Serikali katika kutimiza majukumu yake.
Sijakuelewa. Una maana tutulie na kunyamaza kimya tu kwa sababu ana hayo?Hamna cha kuamka, kura anaiba, kuingilia barabarani kuuwawa ni kitu cha mbele kabisa, na anawapambe kibao, wasanii, wachungaji mashehe, wote wanamsifia kwa kila jambo!
Sasa unataka nani ajenge mkuu,Huu ndiyo ukweli wangu. Binafsi naumia sana kuona mipango mhimu kama elimu inafanywa bila utaratibu.
Majengo mengi yaliyojengwa na wananchi yapo chini ya kiwango na bado Serikali inaendelea na utaratibu huu wa hovyo. How can we be safe?
Pesa za umma zitumike kwenye elimu, afya na ulinzi.
Tofauti kubwa nayoiona huu utaratibu wa kuchangia gharama za ujenzi ndiyo umeharibu suala la Serikali katika kutimiza majukumu yake.
Serekali inamipango mikubwa mikubwaa haya madogo madogo ni saizi yetu wazalendo wa Taifa hili.Huu ndiyo ukweli wangu. Binafsi naumia sana kuona mipango mhimu kama elimu inafanywa bila utaratibu.