Walikuwa wananunuliwa kwa mamilion ya pesa, zote walizoinvest kwenye uchaguzi huku wakijua kuwa wataiba kura haikuwa na maana. Sasa wanaanzisha kodi mbalimbali na kuwalazimisha wananchi wachangie garama za kujenga madarasa watakaoshindwa kuwasweka rumande. Tuliyataka wenyeweHata zile pesa zilizotumika kununua Madiwani na Wabunge Nchi nzima, zingetosha kuongeza Madarasa Nchi nzima!
Ilitakiwa wananchi tuchangie ujenzi wa madaraja halafu serikali ijenge madarasa kwa fedha za mapato ya ndani
Serikali, kwani majukumu yake kwa wananchi wake hayajulikani?Sasa unataka nani ajenge mkuu,
Tulichangia kwa hiari yetu hakuna aliyetulazimishaVipi wale waliowataka wananchi masikini wachangie mikutano yao ya kisiasa huku wakiwa tayar wameshakusanya mamilioni ya michango wa wabunge jumlisha na ruzuku ya chama iliyokuwa inakusanywa kila mwezi? Au lile la michango ya mikutano ya siasa haukuliona?