Kwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni.
Kama uwanja wa Mkapa uliojengwa enzi hizo kwa Tshs.65 na unachukua watu 60,00 iweje huu unaochukua watu 32,000 kigharimu kiasi kikubwa hicho cha fedha.
Pili, kama ni kujenga uwanja Dodoma ambao ni mji mkuu wa nchi ya Tanzania, kujenga uwanja kama huo ni dharau kwa nchi.
Ni vema Serikali ikajenga uwanja mkubwa wenye kuchukua watu takriban 100,000 kuliko kujenga kiwanja chenye hadhi ya Halmashauri.