Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Mnakuwaga wabishi tu.
Viwanja vya mpira ni aghali sana mzee.
Na ndio maana ni vichache hasa Afrika.
Na havimilikiwi na vilabu kwasababu ya gharama zake...hujengwa na serikali
Leo hii ukijenga kiwanja cha kisasa chenye capacity ya ku-accomodate washabiki 60,000 ni bilioni 500 kwenda juu...hadi T.
Cameroon imejenga uwanja mpya unaitwa unaitwa olembe stadium juzi juzi hapa kwa 284 billion dollars ambayo ni sawa na Shilingi bilioni 729, 908,400
Nimetoa mfano wa nchi ya Cameroon kwasababu ndio wana uwanja latest uliojengwa karibuni....
Ulikamilika 2021.
Hebu Google hapo viwanja vipya kama uwanja wa Westham au Wembley uone mziki zake, utakimbia.
Hivyo ni viwanja vipya.
Tena Bilion 300, sio ujenzi ni ukarabati tu.
Halafu watu wanapotosha.
Uwanja wa mkapa umejengwa na wachina kama msaada...Serikali ya wakati huo IKAONGEZA bilioni 60.
Kumbuka hata hizo bilion 60 ni za mwaka 2004...miaka 21 iliyopita.