Sikubaliani na gharama ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma kwa Tshs.310 billioni

Kwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu
Mhasibu na mambo ya gharama za ujenzi wapi na wapi ni kama mbingu na nchi

Wataalamu wa gharama za ujenzi taaluma yao wanaitwa quantity surveyor au building Economist

Huwezi tu kodolea tu jengo kwa macho na kusema gharama sio hiyo

Mambo ya kitaalamu hayo na ziko fani husika

Heshimu utaalamu Chadema wewe
 
Tanzania imo kwenye joint bid ya East Africa walioshinda kuandaa AFCON 2027.
Uwezi kutegemea uwanja mmoja tu wa Mkapa.

Tsh 60 billion miaka zaidi ya ishirini iliyopita aiwezi kuwa na thamani ile ile; leo kuna inflation.

Fanya hesabu za compound interest (kutumia average inflation rate) kwa miaka ya uwanja wa Mkapa toka ujengwe inaweza vuka hiyo billion 310. Halafu huu double the capacity, justifiable.
 
Wewe hata huelewi chochote.

Watu walipiga pesa kipindi cha 2015-2020; na kama kweli wapo wanaopiga muda huu, wanadonoa tu huku darubini la Ikulu likiwa linawamulika; dawa yao iko njiani

Hayupo Rais mwingine nchi hii atakayekuja kuzungukwa kama alivyokuwa anazungukwa Hayati JPM

Yaani Hayati JPM. alikuwa anaibiwa, na alikuwa hajui kama anaibiwa!
Tulishasema JPM hachafuki kwa vicoment vya kipumbavu maendeleo tumeyaona na hatudanganyiki na huo ujinga wenu..
 
Kwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni.

Kama uwanja wa Mkapa uliojengwa enzi hizo kwa Tshs.65 na unachukua watu 60,00 iweje huu unaochukua watu 32,000 kigharimu kiasi kikubwa hicho cha fedha.

Pili, kama ni kujenga uwanja Dodoma ambao ni mji mkuu wa nchi ya Tanzania, kujenga uwanja kama huo ni dharau kwa nchi.

Ni vema Serikali ikajenga uwanja mkubwa wenye kuchukua watu takriban 100,000 kuliko kujenga kiwanja chenye hadhi ya Halmashauri.
Ni sawa na gharama ya kujenga barabara ya lami kutoka Ifakara hadi Songea kama sijakosea sana
 
Tulishasema JPM hachafuki kwa vicoment vya kipumbavu maendeleo tumeyaona na hatudanganyiki na huo ujinga wenu..
Umesoma ukaishia darasa la ngapi? Soma teha nilichoandika; JPM alikuwa anaibiwa, alikuwa haibi
 
Kwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni.

Kama uwanja wa Mkapa uliojengwa enzi hizo kwa Tshs.65 na unachukua watu 60,00 iweje huu unaochukua watu 32,000 kigharimu kiasi kikubwa hicho cha fedha.

Pili, kama ni kujenga uwanja Dodoma ambao ni mji mkuu wa nchi ya Tanzania, kujenga uwanja kama huo ni dharau kwa nchi.

Ni vema Serikali ikajenga uwanja mkubwa wenye kuchukua watu takriban 100,000 kuliko kujenga kiwanja chenye hadhi ya Halmashauri.
Acha porojo soma approximated cost kutoka hapa

Tena hiyo gharama ndogo saana kwa watu 32,000

Kwa kifupi kiwanja cha mkapa kinatotusha Tanzania for the next 10 yrs kama kiwanja cha taifa. Tunahitaji viwanja 4-5 vya watu 30,000-40,000 ili tuhost AFCON wenyewe.

Nadhani maanadalizi haya ni ya kuhost AFCON31.
 
Dodoma kujenga uwanja unaochukua watu chini ya elfu 50 ni matumizi mabovu ya pesa, watu laki 1 ingependeza zaidi.
Mkuu hao watu 100,000 wa kujaza uwanja wanatoka wapi, na hata ikitokea tukio la kujaza watu laki moja kwa mwaka huenda ikawa mara moja au mbili kwa mwaka tena hapo ni derby za kariakoo.. uwanja wa 30k ni sahihi.
 
Kwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni.

Kama uwanja wa Mkapa uliojengwa enzi hizo kwa Tshs.65 na unachukua watu 60,00 iweje huu unaochukua watu 32,000 kigharimu kiasi kikubwa hicho cha fedha.

Pili, kama ni kujenga uwanja Dodoma ambao ni mji mkuu wa nchi ya Tanzania, kujenga uwanja kama huo ni dharau kwa nchi.

Ni vema Serikali ikajenga uwanja mkubwa wenye kuchukua watu takriban 100,000 kuliko kujenga kiwanja chenye hadhi ya Halmashauri.
Msijali! Ipo siku kitanuka tu! Na wote waliohusika na ufisadi wowote nchi hii watakiona cha mtemakuni. Hata wakimbilie wapi!!
 
Mkuu hao watu 100,000 wa kujaza uwanja wanatoka wapi, na hata ikitokea tukio la kujaza watu laki moja kwa mwaka huenda ikawa mara moja au mbili kwa mwaka tena hapo ni derby za kariakoo.. uwanja wa 30k ni sahihi.
Huwajui wabongo kwenye mambo ya mpira, sio lazima derby... Game caf timu za jangwani zinajaza haswa msimbazi.
Game za timu za mkoani kama za singinda, moro, hata mbeya wakiachagua kucheza pale na simba na yanga as a home ground wanaweza jaza kwa asilimia 50,75 mpaka 100
 
Kwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni.

Kama uwanja wa Mkapa uliojengwa enzi hizo kwa Tshs.65 na unachukua watu 60,00 iweje huu unaochukua watu 32,000 kigharimu kiasi kikubwa hicho cha fedha.

Pili, kama ni kujenga uwanja Dodoma ambao ni mji mkuu wa nchi ya Tanzania, kujenga uwanja kama huo ni dharau kwa nchi.

Ni vema Serikali ikajenga uwanja mkubwa wenye kuchukua watu takriban 100,000 kuliko kujenga kiwanja chenye hadhi ya Halmashauri.
Kama wawakilishi wetu wangekuwa wananyooka kwenye hoja namna hii, tungekuwa mbali sana
 
Mtalii aingie uwanjani kuangalia Mulandege na Makindi FC? Au wewe unamaanisha nini wenda.
Ukiwa na viwanja vizuri unaweza kuhost matamasha mengi ya kimataifa sio mpira tu wa miguu..
 
Wewe hata huelewi chochote.

Watu walipiga pesa kipindi cha 2015-2020; na kama kweli wapo wanaopiga muda huu, wanadonoa tu huku darubini la Ikulu likiwa linawamulika; dawa yao iko njiani

Hayupo Rais mwingine nchi hii atakayekuja kuzungukwa kama alivyokuwa anazungukwa Hayati JPM

Yaani Hayati JPM. alikuwa anaibiwa, na alikuwa hajui kama anaibiwa!
Unaleta utani wewe hizi stori wakusanye watoto uwaadithie
 
Kwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni.

Kama uwanja wa Mkapa uliojengwa enzi hizo kwa Tshs.65 na unachukua watu 60,00 iweje huu unaochukua watu 32,000 kigharimu kiasi kikubwa hicho cha fedha.

Pili, kama ni kujenga uwanja Dodoma ambao ni mji mkuu wa nchi ya Tanzania, kujenga uwanja kama huo ni dharau kwa nchi.

Ni vema Serikali ikajenga uwanja mkubwa wenye kuchukua watu takriban 100,000 kuliko kujenga kiwanja chenye hadhi ya Halmashauri.
Kaka utaumia sana, jiunge na CDM ya Lissu kukikomboa Taifa lako dhidi ya uporaji huu. Hakuna namna nyingine yoyote ile.
 
Back
Top Bottom