Mhasibu na mambo ya gharama za ujenzi wapi na wapi ni kama mbingu na nchiKwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu
Tulishasema JPM hachafuki kwa vicoment vya kipumbavu maendeleo tumeyaona na hatudanganyiki na huo ujinga wenu..Wewe hata huelewi chochote.
Watu walipiga pesa kipindi cha 2015-2020; na kama kweli wapo wanaopiga muda huu, wanadonoa tu huku darubini la Ikulu likiwa linawamulika; dawa yao iko njiani
Hayupo Rais mwingine nchi hii atakayekuja kuzungukwa kama alivyokuwa anazungukwa Hayati JPM
Yaani Hayati JPM. alikuwa anaibiwa, na alikuwa hajui kama anaibiwa!
Ni sawa na gharama ya kujenga barabara ya lami kutoka Ifakara hadi Songea kama sijakosea sanaKwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni.
Kama uwanja wa Mkapa uliojengwa enzi hizo kwa Tshs.65 na unachukua watu 60,00 iweje huu unaochukua watu 32,000 kigharimu kiasi kikubwa hicho cha fedha.
Pili, kama ni kujenga uwanja Dodoma ambao ni mji mkuu wa nchi ya Tanzania, kujenga uwanja kama huo ni dharau kwa nchi.
Ni vema Serikali ikajenga uwanja mkubwa wenye kuchukua watu takriban 100,000 kuliko kujenga kiwanja chenye hadhi ya Halmashauri.
Umesoma ukaishia darasa la ngapi? Soma teha nilichoandika; JPM alikuwa anaibiwa, alikuwa haibiTulishasema JPM hachafuki kwa vicoment vya kipumbavu maendeleo tumeyaona na hatudanganyiki na huo ujinga wenu..
Daah mkuu unaijua isikizya?Usiwe na wasiwasi.Hizo ni converted kwa hela ya Zimbabwe na zitaletwa kwenye mzunguko nchini hadi kwa wauza ntalali na ndati wa Isikizya kule Tabora.
Acha porojo soma approximated cost kutoka hapaKwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni.
Kama uwanja wa Mkapa uliojengwa enzi hizo kwa Tshs.65 na unachukua watu 60,00 iweje huu unaochukua watu 32,000 kigharimu kiasi kikubwa hicho cha fedha.
Pili, kama ni kujenga uwanja Dodoma ambao ni mji mkuu wa nchi ya Tanzania, kujenga uwanja kama huo ni dharau kwa nchi.
Ni vema Serikali ikajenga uwanja mkubwa wenye kuchukua watu takriban 100,000 kuliko kujenga kiwanja chenye hadhi ya Halmashauri.
Mkuu hao watu 100,000 wa kujaza uwanja wanatoka wapi, na hata ikitokea tukio la kujaza watu laki moja kwa mwaka huenda ikawa mara moja au mbili kwa mwaka tena hapo ni derby za kariakoo.. uwanja wa 30k ni sahihi.Dodoma kujenga uwanja unaochukua watu chini ya elfu 50 ni matumizi mabovu ya pesa, watu laki 1 ingependeza zaidi.
Aaaiiiii wapi! Tupo tu tunatumikia taifa.Asante sanaa, hope leo tunavunja kibubu😆
Mtalii aingie uwanjani kuangalia Mulandege na Makindi FC? Au wewe unamaanisha nini wenda.Hao watu wakwapi sasa..
Bora uwanja ungejegwa zanzibar huko..kule kuna watalii wengi
Msijali! Ipo siku kitanuka tu! Na wote waliohusika na ufisadi wowote nchi hii watakiona cha mtemakuni. Hata wakimbilie wapi!!Kwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni.
Kama uwanja wa Mkapa uliojengwa enzi hizo kwa Tshs.65 na unachukua watu 60,00 iweje huu unaochukua watu 32,000 kigharimu kiasi kikubwa hicho cha fedha.
Pili, kama ni kujenga uwanja Dodoma ambao ni mji mkuu wa nchi ya Tanzania, kujenga uwanja kama huo ni dharau kwa nchi.
Ni vema Serikali ikajenga uwanja mkubwa wenye kuchukua watu takriban 100,000 kuliko kujenga kiwanja chenye hadhi ya Halmashauri.
Huwajui wabongo kwenye mambo ya mpira, sio lazima derby... Game caf timu za jangwani zinajaza haswa msimbazi.Mkuu hao watu 100,000 wa kujaza uwanja wanatoka wapi, na hata ikitokea tukio la kujaza watu laki moja kwa mwaka huenda ikawa mara moja au mbili kwa mwaka tena hapo ni derby za kariakoo.. uwanja wa 30k ni sahihi.
Kama wawakilishi wetu wangekuwa wananyooka kwenye hoja namna hii, tungekuwa mbali sanaKwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni.
Kama uwanja wa Mkapa uliojengwa enzi hizo kwa Tshs.65 na unachukua watu 60,00 iweje huu unaochukua watu 32,000 kigharimu kiasi kikubwa hicho cha fedha.
Pili, kama ni kujenga uwanja Dodoma ambao ni mji mkuu wa nchi ya Tanzania, kujenga uwanja kama huo ni dharau kwa nchi.
Ni vema Serikali ikajenga uwanja mkubwa wenye kuchukua watu takriban 100,000 kuliko kujenga kiwanja chenye hadhi ya Halmashauri.
Ukiwa na viwanja vizuri unaweza kuhost matamasha mengi ya kimataifa sio mpira tu wa miguu..Mtalii aingie uwanjani kuangalia Mulandege na Makindi FC? Au wewe unamaanisha nini wenda.
Lete ushahidi ww mattercoreUmesoma ukaishia darasa la ngapi? Soma teha nilichoandika; JPM alikuwa anaibiwa, alikuwa haibi
Unaleta utani wewe hizi stori wakusanye watoto uwaadithieWewe hata huelewi chochote.
Watu walipiga pesa kipindi cha 2015-2020; na kama kweli wapo wanaopiga muda huu, wanadonoa tu huku darubini la Ikulu likiwa linawamulika; dawa yao iko njiani
Hayupo Rais mwingine nchi hii atakayekuja kuzungukwa kama alivyokuwa anazungukwa Hayati JPM
Yaani Hayati JPM. alikuwa anaibiwa, na alikuwa hajui kama anaibiwa!
Mkapa ulijengwa kati ya 2004-2006Uwanja wa mkapa ulijengwa karibu miaka 20 iliyopita
Kaka utaumia sana, jiunge na CDM ya Lissu kukikomboa Taifa lako dhidi ya uporaji huu. Hakuna namna nyingine yoyote ile.Kwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni.