Sikubaliani na Harakati za GSM za Kumleta Cloatus Chama Jangwani (Yanga SC)

watakua wamezingua sanaaa, hatutaki wachezaji wa makolo fc
 
Kama hawajaweka kipengele hiko?

Na kwanini kipengele hiko kimewekwa kwa Miqquisone kama Simba wana amini kuwa Yanga SC hawana uwezo wa Kumchomoa kutoka Al Ahly?
biashara tu mkuu .. ceo wa simba yuko makini sana
 
Hii ni ile hadithi ya Joka la Mdimu, ukienda kuchuma ndimu anakugonga ili hali yeye hizo ndimu hazihitaji....hapo lengo litakuwa kumzuia tu asirudi Simba.
 
Hii ni ile hadithi ya Joka la Mdimu, ukienda kuchuma ndimu anakugonga ili hali yeye hizo ndimu hazihitaji....hapo lengo litakuwa kumzuia tu asirudi Simba.
Bifu lake na Mo lipisababisha kuharakisha transfer yake kwenda RS Berkane.

Ibenge alikuwa na jicho kwingine though ...dili lake lili mature mapema.
 
Hakuna mkataba wa biashara wenye vipengele vya kijinga namna hiyo, mchezaji (commodity) na ana haki ya kuuzwa na kununuliwa na timu yoyote, kinacho matter ni makubaliano ya pande mbili.
 
Furaha ya Yanga ni tetesi kama hivi hasa zenye kuhusu Simba na kwa sasa nahisi GSM kashatembeza mpunga kwa Wachambuzi chawa waanze kuhype hii tetesi. Hii tetesi itapamba moto mara tu pale Yanga akipoteza game
Uto wapo tayari wakose ubingwa mara kumi lakini usiwanyime tetesi hasa za Viongozi, au Wachezaji kutoka Simba SC, au walikuwepo Simba.

Ndo maana Msukule aliwatukana miaka 5 lakini alivyokwenda kwao ni furaha ile mbaya utadhani ameletwa MO Salah kutoka Liverpool[emoji12]
 
Utopolo bana 😂😂😂 eti kumleta Chama jangwani 😂
 
Sawa mkuu umeongea vema sana tunapaswa kutafuta left na right fowards wa akili anaweza kutoa cross hatari na mikombio ya hatari tulionaobhawana mbadala ndiyo maana hawajitumi sana umeona viungo na back wanambadala ndiyo maana wanakomaa
 
Huyoo injiniaa anawaona mashabiki wa Utoo kama wanae au kama kawaumba yeyee
Muda si mrefu utasikia anamleta Mess I nao wataaamuamini
 
Bro nikwambie feisal anauzwa,na ibenge anamtaka mukoko ndio maana tunamtaka chama,kuna aina ya makubaliano yanafanywa ili tuwape mukoko wao wanatupa chama,fei tunamuuza,kapata timu ulaya

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Huyoo injiniaa anawaona mashabiki wa Utoo kama wanae au kama kawaumba yeyee
Muda si mrefu utasikia anamleta Mess I nao wataaamuamini
Mazwazwa ya uto bado yanaaminishwa kuwa watapata ubingwa wa msimu uliopita kutoka CAS. Yaani hii mijitu ni takataka kabisa GSM anawageuza geuza kama chapati
 
Hizo ni tetesi tu, na wala hazija anza leo wala jana kuwa Yanga wanamtaka Chama.
Ila kumbuka kuwa pale yanga Feisal hana mbadala sahihi kwa namba yake kwasasa, Feisal anahitaji mtu wakumpa ushindani ili aongeze juhudi zaidi.
Pia tambua kuwa Yanga hawana creative attacking mildfilder type ya Chama au Miquison.
Hivyo basi sio lazima wamsajili Chama au Miquison, ila wanapaswa kutafuta kiungo mshambuliaji mbunifu mwenye uwezo zaidi Feisal.
 
Kama ni kweli basi itakuwa ni matumizi mabaya ya rasilimali kwani Yanga tayari wana wachezaji wazuri wa kati kiasi kwamba hawahitaji tena kuongeza mwingine.

Pia huyo Chama malipo anayolipwa huko ni hela ndefu kiasi kwamba haitakuwa na maana yoyote kwa Yanga kutumia pesa nyingi kiasi hicho kumlipa mshahara mchezaji mmoja huku timu ikiwa haina hata uwanja wake. It's a sheer stupidity.
 
Yanga huwa wanatamaa sana ya kumsajili Chama ila hawana watu mafia wa kutimiza hazma yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…