demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
- Thread starter
- #41
Ni upuuzi kabisa kumleta yule Jamaa. Eti wanatumia mwanya wa bifu lake na Mo Dewji.Kama ni kweli basi itakuwa ni matumizi mabaya ya rasilimali kwani Yanga tayari wana wachezaji wazuri wa kati kiasi kwamba hawahitaji tena kuongeza mwingine.
Pia huyo Chama malipo anayolipwa huko ni hela ndefu kiasi kwamba haitakuwa na maana yoyote kwa Yanga kutumia pesa nyingi kiasi hicho kumlipa mshahara mchezaji mmoja huku timu ikiwa haina hata uwanja wake. It's shere stupidity.
Ila bado tunapambana ili asirudi.