Ni upuuzi kabisa kumleta yule Jamaa. Eti wanatumia mwanya wa bifu lake na Mo Dewji.Kama ni kweli basi itakuwa ni matumizi mabaya ya rasilimali kwani Yanga tayari wana wachezaji wazuri wa kati kiasi kwamba hawahitaji tena kuongeza mwingine.
Pia huyo Chama malipo anayolipwa huko ni hela ndefu kiasi kwamba haitakuwa na maana yoyote kwa Yanga kutumia pesa nyingi kiasi hicho kumlipa mshahara mchezaji mmoja huku timu ikiwa haina hata uwanja wake. It's shere stupidity.
Mafia?Yanga huwa wanatamaa sana ya kumsajili Chama ila hawana watu mafia wa kutimiza hazma yao.
Ndo mkataba wa miquison ulivyo kwamba atauzwa popote Ila siyo kwa vilabu vya bongo isipokuwa SimbaHakuna mkataba wa biashara wenye vipengele vya kijinga namna hiyo, mchezaji (commodity) na ana haki ya kuuzwa na kununuliwa na timu yoyote, kinacho matter ni makubaliano ya pande mbili.
Aucho mwenyewe kahojiwa anasema hakuwahi kufanya mawasiliano yeyote na SimbaMafia?
Kwani Aucho hakuwa kwenye hesabu za Simba msimu huu? Mkaamua kwenda kuchukua reject wa Al Ahly Tripoli
Vipi kuhusu Djuma Shaban, try again alituna wawakilishi wake kule kwa bahati mbaya wakatuka Hersi kamaliza kazi.
Umafia ulizaliwa Jangwani.
Nipe hiyo Clip ya Mahojiano.Aucho mwenyewe kahojiwa anasema hakuwahi kufanya mawasiliano yeyote na Simba
Yeye mwenyewe anashangaa hizo habari kulikua zinatoka waapi
Akasema timu zilizokuwa unawasiliana nae ni Mazuzu fc na Azam
Tafuta gazeti la mwanaspoti nadhani la juziiNipe hiyo Clip ya Mahojiano.
πππππππ
Sina uhakika kama Kimombo kinapanda, nimeamua kukuletea kabisa video ikionyesha Aucho kukiri kuwa Simba SC walimuhitaji.Aucho mwenyewe kahojiwa anasema hakuwahi kufanya mawasiliano yeyote na Simba
Yeye mwenyewe anashangaa hizo habari kulikua zinatoka waapi
Akasema timu zilizokuwa unawasiliana nae ni Mazuzu fc na Azam
Aucho aligoma kwenda simba sababu hakuona nafasi ya kuanza mbele ya chama, mkude au lwanga, japo yeye mwenyewe alitamani sana acheze simbaMafia?
Kwani Aucho hakuwa kwenye hesabu za Simba msimu huu? Mkaamua kwenda kuchukua reject wa Al Ahly Tripoli
Vipi kuhusu Djuma Shaban, try again alituna wawakilishi wake kule kwa bahati mbaya wakatuka Hersi kamaliza kazi.
Umafia ulizaliwa Jangwani.
Ni rahisi kuandika taarifa zisizo za ukweli kwenye gazeti.Tafuta gazeti la mwanaspoti nadhani la juzii
At least wewe unakubali kuwa Simba SC walionyesha kumuhitaji Aucho.Aucho aligoma kwenda simba sababu hakuona nafasi ya kuanza mbele ya chama, mkude au lwanga, japo yeye mwenyewe alitamani sana acheze simba
Kwani kipindi Simba na Yanga zinamuhitaji Aucho si ndio kipindi hiko hiko Chama & Miqquisone walikuwa wanakamilisha uhamisho wao.Aucho aligoma kwenda simba sababu hakuona nafasi ya kuanza mbele ya chama, mkude au lwanga, japo yeye mwenyewe alitamani sana acheze simba
We bata acha uongo mimi niliwahi sikia akisema anafahamu Mabata walimuhitaji na waliongea na wakala wake na Huyo wakala wake akamjulisha. Alisema kilichofanya akaja yanga ni kuona yanga walikuwa serious sana hasa Hersi Said mana alimpigia Simu moja kwa Moja na baadae akaonana nae yeye mwenyeweAucho mwenyewe kahojiwa anasema hakuwahi kufanya mawasiliano yeyote na Simba
Yeye mwenyewe anashangaa hizo habari kulikua zinatoka waapi
Akasema timu zilizokuwa unawasiliana nae ni Mazuzu fc na Azam
Kuna wachezaji wale wenye mapenzi ya dhati na ushabiki na vilabu fulani.Aucho aligoma kwenda simba sababu hakuona nafasi ya kuanza mbele ya chama, mkude au lwanga, japo yeye mwenyewe alitamani sana acheze simba
Sio chanzo cha habarii auVyanzo vyako vya habari ni Magazeti...?
ππππππππππ