Mpe hiyo kazi.Kwa nini asifanye kazi alipwe?
Kuna Jamaa yangu niliwahi kumpatia Laki na Sabini aninunulie mzigo flani, akaanza kunizungusha na kunikwepa mpaka nikaamua kusamehe pesa yangu.
Majuzi hapa nakutana naye ananiambia ameshakuwa Mchungaji na tayari ana mahali kaanzisha kanisa.
Sasa Mchungaji wa namna hii ukiingia anga zake hawezi kupata tabu kukulamba makofi.
Kuna jamaa alikuwa mwizi wa magari yeye alikuwa anaiba magari ya kabisa na ya Serikali tu.anasema hizo Taasisi ndizo hazitafuti kwa jasho.
Mwenyewe nimeshangaa Sana na huku wao wamekomaa kuwa usihukumu.ukichukuliwa shati toa na koti ama ukipigwa huku geuza na kuleHuyo binti ilibidi atolewe pepo la wizi na kumbadilisha kwa maombi awe raia mwema sio kumpiga.
Makanisa ya sasa hayana nguvu za Mungu yapo kibiashara zaidi ndio maana yanachukia kuibiwa badala ya kubariki na kuombea wanaowaudhi kama huyo mwizi.
Umeongea point kubwa, kama wao ni waumini wa imani ya kweli basi wangemuombea pepo la wizi limtoke, kumpiga maana yake hawana uwezo wa kuwaombea wenye matatizo.Huyo binti ilibidi atolewe pepo la wizi na kumbadilisha kwa maombi awe raia mwema sio kumpiga.
Makanisa ya sasa hayana nguvu za Mungu yapo kibiashara zaidi ndio maana yanachukia kuibiwa badala ya kubariki na kuombea wanaowaudhi kama huyo mwizi.
Hilo ni kosa kubwa kwa kuchukua sheria mukononi mwao lakini wamekosa roho ya kusamehe na hawana uhalali wa kuwaomba waumini wao kuwa masamehevuKumekua na Video inayozunguka katika Magroup ya Whatsapp na mitandao mbali mbali.
Video ikimuonesha binti anayetuhumiwa kwa wizi katika makanisa.
Viongozi/waumini wanaonekana katika video hii wakimpiga mtuhumiwa.
Jambo hili halikubaliki na niuvunjaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu.
Kama hawa ndo viongozi wa dini, basi tuna safari ndefu kama taifa.
Natumaini kuwa sheria itachukua mkondo wake.
Video yenyewe hii hapa. View attachment 1807236
Tena hapo Kuna dada anaongea kikatili sana na huku ni mdada.yaani jamani Hawa jamaa hata hawajui kuwa wanafuata Nini kwenye nyumba za ibada. Ni kwa Nini uhukumu na huko sijui ni RC wanakotangaza mapendo daima. Bora wangemchukua wakamtafutia kazi wakamsaidia.Kumekua na Video inayozunguka katika Magroup ya Whatsapp na mitandao mbali mbali.
Video ikimuonesha binti anayetuhumiwa kwa wizi katika makanisa.
Viongozi/waumini wanaonekana katika video hii wakimpiga mtuhumiwa.
Jambo hili halikubaliki na niuvunjaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu.
Kama hawa ndo viongozi wa dini, basi tuna safari ndefu kama taifa.
Natumaini kuwa sheria itachukua mkondo wake.
Video yenyewe hii hapa. View attachment 1807236
Kweli mkuu.Umeongea point kubwa, kama wao ni waumini wa imani ya kweli basi wangemuombea pepo la wizi limtoke, kumpiga maana yake hawana uwezo wa kuwaombea wenye matatizo.
🤣🤣🤣🤣 kikombe hiki hakitawaepuka walokoleWatasingiziwa walokole naona kama wakatoliki hapo. Sadaka sadaka
Kumekua na Video inayozunguka katika Magroup ya Whatsapp na mitandao mbali mbali.
Video ikimuonesha binti anayetuhumiwa kwa wizi katika makanisa.
Viongozi/waumini wanaonekana katika video hii wakimpiga mtuhumiwa.
Jambo hili halikubaliki na niuvunjaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu.
Kama hawa ndo viongozi wa dini, basi tuna safari ndefu kama taifa.
Natumaini kuwa sheria itachukua mkondo wake.
Video yenyewe hii hapa. View attachment 1807236
Hilo ni kosa kubwa kwa kuchukua sheria mukononi mwao lakini wamekosa roho ya kusamehe na hawana uhalali wa kuwaomba waumini wao kuwa masamehevu