Sikubaliani na Spika Tulia Ackson suala la mabasi kusafiri usiku

Kuna matajiri wapo nyuma yake.Nilimwamini sana kuwa ni mkweli kwa Sasa naona nae anatumiwa na watu kwa manufaa yao binafsi.Angetwambia kwanza .Je ajali zimeisha?
Ww unaweza maliza ajali?
 

Mkuu jitahid uwe unatoka nje ya nchi mara moja moja, utajifunza vitu vingi ikiwemo usafiri wa mabus usiku na faida zake
 
Ana akili ndogo ya kijasiriamali.
Inatakiwa ufanye jambo ukutane na changamoto zake uzitatue Kuliko kuogopa kufanya utabaki pale ulipo.
Ndio maana watumishi wa Serikali wengi wakifanya Biashara Lazima wafilisike
Wanafikiri ukiwekeza mahali unaanza kuvuna tu Kumbe kuna changamoto zingine zinafutana na uwekezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…