Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Jeshi la polisi linasema watu wanajiteka, sijui wivu wa mapenzi, ushirikina, na madeni.
Hebu tuchambue baadhi ya matukio ya utekaji yalivyokuwa,
Kwa mfano utekaji wa kiongozi wa CHADEMA aliye shushwa kwenye basi na kukutwa ameuwawa yule alishushwa kwenye basi na kundi la watu kadhaa waliojitambulisha kuwa ni polisi, walikuwa na pingu, walikuwa na bunduki, walikuwa sio watu wa kawaida walikuwa na mafunzo hadi ya silaha, hapa hatuwezi kusema kuwa hawa watu sio polisi.
Kwasababu wanapingu, wanasilaha, na wamekamata mtu mchana kweupe, mtu yule hakuwa na madeni, kuwa na shutuma za mapenzi, hakuwa na shutuma za ushirikina, pia hatuwezi kusema amejiteka wakati alichukuliwa akauwawa na kutobolewa macho, hakuna mtu anayweza kujiteka akafanya haya hivyo haingii akilini tuseme watekaji sio jeshi la polisi.
Kwa mfano Mdude, kabla ya utekaji wake kulikuwa na shutuma za polisi kumfuatilia anapoishi mdude na wananchi walimtaja afande shabani alitaka kutoa rushwa kwa raia ili amkamate mdude.
Ikumbukwe mdude hakuwa na shutuma za mapenzi, hakuwa na madeni, hakuwa na shutuma za uchawi, walio mteka walijitambulisha kuwa ni polisi na walimpiga vibaya sana mbele ya mke wake hakuna mtu anayeweza kujiteka katika mazingira kama haya.
Ushahidi mwengine wenye nguvu dhidi ya uharifu wa jeshi la polisi kuwa ni kweli wanahusika na uharifu na utekaji.
Kwa mfano Wale wanaharakati wa Kenya na Uganda walikamatwa bila kosa lolote waliwekwa sehemu isiyojulikana huku nikuteka kinyume cha sheria wakapatikana wametupwa maporini, hii inaonesha polisi wanahusika na matukio ya kikatili na uvunjifu wa sheria wazi wazi na inatupa ushahidi kuwa watekaji ni polisi.