Sikubaliani na Tangazo la Haki Elimu mnatudhalilisha

Sikubaliani na Tangazo la Haki Elimu mnatudhalilisha

Hello wana bodi!!

Naomba kuuliza hivi hawa 'Haki Elimu' na Tangazo lao la Mwanafunzi hataki kwenda shule kwakuwa anatongozwa na mwalimu wake lina 'credibility' na 'validity' kiasi gani?

Moja, hivi sample size yao kwenye huo utafiti ilikuwa ni walimu wangapi wenye tabia hiyo kiasi kwamba liwe tatizo la kutubagaza Walimu kila mahali na kila wakati?

Mbili, lengo hasa la Tangazo hilo ni nini? 'Wanahamasisha' au wanakemea au wanaelimisha au wanafanya nini (dhima ya tangazo)?

Tatu, Hivi Sisi walimu tukitaka kuwachukulia hatua kwa kunajisi 'professional' yetu tutakuwa tunakosea?

Mwisho lakini si kwa ulazima, nadhani muda umefika tutawataka Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kukataa hii 'professional abuse' kwani sisi Walimu ni Wazazi na ieleweke pia Walimu hatukubaliani na hili tangazo.

Mwenyekiti Cwt (W).

Iramba- Singida.
Mwenyewe nilipata shida sana nilikuwa nakaa nje ya darasa tena jua la saa nane hadi kipindi cha huyo mwalimu kinakwisha ndio naingia darasani hapo Bomani P/S, japo miaka mingi imepita lakini sisahau maana kiliniumiza mmo, Mabinti wanasoma Kwa shida sana. Kuanzia shule za msingi hadi vyuo huu upuuzi upo sana tu. Cha muhimu mkanyane wenyewe kwa wenyewe. Hamdhalilishwi chochote ukweli ndio huo.
 
Tangazo linaongelea ukweli mtupu. Hasa kwa shule za serikali, binafsi nawajua wasichana wawili wao waliacha kabisa shule kutokana na mateso waliyokumbana nao baada ya kukataa kuingia kwenye mahusiano na mwalimu.

Yani Kila siku visanga, adhabu bila makosa yoyote, hakuna amani hawawezi hata kusoma. Wakiwaza kwenda shule wanaona Ni Kama jehanam ndo ikawa mwisho wa Safari yao kielimu.
 
Mkuu inaonekana labda wewe hufanyi hicho kitu na unahisi waalimu wote wanashikiria ethics kama wewe. Inshort mkiamua kutibua watu na wakaamua kuwashikisha adabu humo kwenye staff room zenu mtabaki wachache mnoo

nimekutana na victims toka nikiwa primary. Huko sekondari na kuendelea ni vurugu tupu. Huko mavyuoni mlipoachiwa uhuru wa kufelisha ndio kama sifa. Kama huna unaemjua aliyewahi pitia hii kitu utabaki unatetea
Mwenyekiti CWT asijue hiyo tabia? Nakataa, katika walimu 100 mmoja labda ndio hafanya huo upuuzi
 
Mwenyekiti CWT asijue hiyo tabia? Nakataa, katika walimu 100 mmoja labda ndio hafanya huo upuuzi

Bhasi Huyo mwenyekiti CWT alikuwa kaenda likizo kwa miaka ambayo mimi nilisoma. Mkuu acha kupinga ila kaulize tu wanafunzi wakupe hali halisi haswa shule za mchanganyiko ambazo ni boarding. Huko utashika mdomo utapokuta mwalimu over 35 na ana scandal ya kutoka na mtoto wa form two
 
Si mimi tu nilikubaka pale shule mwalimu Alex, Vitus, John, Mirimba na Jebra wote nilipata taarifa wamekufanyia ubakaji ni zaidi ya malamoja.

Moderator naomba msinipige Ban nachofanya nasapoti kile anachoaminisha jamii huyu member sina makosa.
Kumbe mnajijua ndio maana mmeambiwa tulizeni mishono watu tuteme nyongo
 
Moderator wala msimpige ban huyu mwalimu nakumbuka aliliwa kiboga darasani na hao aliowataja yaani asubuh tulimkuta hajitambui alikurupuka akatutajia majina wa hao jamaa

Yale marinda yaliyotatuliwa yalipona mwalimu mbakaji?
Basi yameisha achana naye
 
H

Hii haifanyi kufuta ukweli kuwa sisi ni wabakaji nakusibitisha hilo wewe ni mwanafunzi wangu nimekubaka sana.
We nae tulia unazidi kujidhalilisha, huu Uzi umekushinda
 
Nafikiri mashuleni ndio kunaongoza kwa walimu kutembea na wanafunzi kuliko hata vyuoni. Shule nyingi kuna boys hawaelewani na mwl fulani kisa wanachangia demu. Walimu siku mkianza kukemea hili kupitia hicho chama kilichoshindwa kuwatetea kwenye mambo ya msingi ndio mtaelewa uhalisia. Wengine mpaka wanajisahau na kuwafanya wake zao. Bisha na hili
 
Hakuna walimu wa kike wanaotembea na wanafunzi wa kiume?
 
Mkuu elewa Msingi wangu wa swali.
Tatizo kwa kiasi gani linaitwa tatizo? Hilo ndio swali langu mkuu


Hongera sana uko Safi kichwani, big up bro umeongea vizuri mno na hoja yako ni nzito.
 
Wahanga wakubwa n watto wa kike ndio maana wameeka tangazo Hilo wapo pia watto wa kiume wanao toka na walimu wao Ila wakike imezid n sawa na mauaji ya albino na watu wa kawaida Ila kwasab ilionekana albino ndio waathirika wakubwa tangazo likawekwa kwao
 
Back
Top Bottom