Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Ungejikita katika hoja badala ya mashambulizi binafsi .Mwenye akili Timamu na anayejitambua anajadili hoja badala ya kufanya kama ulivyofanya wewe kuandika utotoHili kopo sijui Huwa ni kabila gani.
Hao sio level zako,wewe ni chawa tu.Endelea kujificha kwenye uchafu.
Siungi mkono mauaji ya mtu yeyote yule lakini pia siungi mkono kauli za uchochezi na uchonganishi kama hizo za Makada wa CHADEMA aina ya Sugu.Unaweza kubwabwaja uwezavyo kwa kuwa wanaotendewa unyama si wale unaowategemea ili uweze kwenda haja kubwa.
Ila kumbuka dhulma na damu ya mtu tangu zamani hata kesho haijawahi kumwacha mtu salama
Natamani nikutukane tusi zito unalostahili ila najiheshimu, itoshe kusema tu wewe sawa na mzogaNdugu zangu Watanzania,
Kwanza ningependa kuendelea kutoa pole kwa wana CHADEMA kwa kifo cha kiongozi wao.najuwa kibinadamu inaumiza , kusikitisha,kuhuzunisha na kutia simanzi.
Lakini ningependa kusema ya kuwa tukio hilo lisifanye kupoteza imani kwa vyombo vyetu vya Ulinzi hususan jeshi la Polisi kama ambavyo tumesikia matamko yakitolewa na viongozi na Makada wa CHADEMA.ni wazi kuwa jeshi letu limepokea na kusikia sauti za watanzania wa vyama vyote na wasio na vyama namna walivyo laani na kukemea tukio hilo na ndio maana tumeshuhudia likiongeza nguvu ya timu nzito kutoka makao makuu kitengo cha upelelezi wa matukio makubwa.
Tumeona pia namna Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alivyosikitishwa na kuhuzunishwa sana na kutoa amri ya kufanyika kwa uchunguzi wa kina na kupewa taarifa au ripoti juu ya suala hilo.
Lakini ningependa kusema kuwa unapokuwa kiongozi ni lazima na muhimu sana na busara kubwa sana kuchunga ulimi wako au maneno yako au kujizuia kuzungumza unapokuwa katika hali ya hasira,jazba au hali yoyote ile inayoweza kukufanya au kukuchochea kuzungumza jambo au kutoa tamko bila kufikiri zaidi ya kutumia hisia tu.
Ndio maana unapoitwa au kufikia hatua ya kuwa kiongozi ni lazima uwe na kifua,kujizuia kutanguliza hisia zaidi ,uchuje maneno,uwe na subira,utangulize hekima,busara na kuwa na Utulivu wakati wa nyakati ngumu zenye kila aina ya presha ya wafuasi wako au kwa sababu ya tukio fulani.ni lazima uhakikishe ya kuwa unajizuia hisia zako katika kufanya maamuzi au kutoa maneno juu ya jambo fulani.
Sasa nimepita katika ukurasa wa Twitter wa Sugu mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa na kushangaa sana alicho kiandika. Kiukweli sikubaliani nacho kwa sababu kinaleta taharuki, uchochezi, uchonganishi na hofu kwa watu isiyo na ukweli. Ni maneno yanayoonyesha ameandika akiwa na hisia na kukosa utulivu au kufikiria kabla ya kuyaandika.
Kama kiongozi amekosea na amefanya kosa kubwa tu.ameshindwa kujiongoza Mwenyewe na kutawala hisia zake na badala yake hisia zake zimemtawala na kumuongoza,jambo ambalo ni la hatari kwa kiongozi.Maana linakupunguzia ile nguvu ya kuitwa kiongozi Makini.
Maneno yenyewe na ujumbe wenyewe ni huu hapaView attachment 3091831
Sawa nashukuruNatamani nikutukane tuzi zito unalostahili ila naiheshimu, itoshe kusema tu wewe sawa na mzoga
Mndali watu wa songweHili kopo sijui Huwa ni kabila gani.
Hao sio level zako,wewe ni chawa tu.Endelea kujificha kwenye uchafu.
Hapo hakuna uchochezi.Siungi mkono mauaji ya mtu yeyote yule lakini pia siungi mkono kauli za uchochezi na uchonganishi kama hizo za Makada wa CHADEMA aina ya Sugu.
Ulikuwepo kipindi majambazi yamevamia na kuiba Benki? Je haikuwa ni mjini?haikuwa ni mchana? Au ulikuwa bado Iringa huko gangi longa ukinywa zako maulanzi.Unapajua Kibo Complex Tegeta?πππ
Tegeta siyo kwenu huko Chimala mashambani ambapo Mbunge wa CCM anagongwa na Power tiller na kufaπΌ
Zipo wapi hizo silaha za kivita? Unaweza kuweka hapa picha zake zikiwa zimeshikwa na watekaji?Hapo hakuna uchochezi.
Kwa akili yako fupi unaamini hizo silaha za kivita siyo za majeshi yetu?
Wametoa tena kwa kujitetea sana. Maana wameona msala unaweza wageukia. Source mwananchi digital.Basi alilotekwa Mzee Kibao limetoa taarifa rasmi kwa umma? Hata pole? Watu binafsi wanatoa taarifa wenyewe wamekausha tu? Hii inafikirisha sana.
Wewe kweli kima!Zipo wapi hizo silaha za kivita? Unaweza kuweka hapa picha zake zikiwa zimeshikwa na watekaji?
Kuna sehemu kwenye mtandao wa X nilisoma chanzo kimoja kikidai hao wasiojulikana walikuwa na SMG. Sijui ni ya kuwindia ndege wanaokula mazao!Hayupo sahihi.hizo silaha za kivita uliziona wapi? Unaweza kuweka ushahidi wako hapa au umeongozwa na hisia zako tu
Hakuna anayekubaliana na uzushi wake na ndio maana chama kikipinga kauli yake na hata kupelekea Mheshimiwa Rais kutengua uteuzi wake. Maana yake hata Rais alipinga uzushi na uongo wa yule mtu.Luca je dc wa longido unakubaliana naye?
Sio rahisi kama unavyoongea. Huna akili timamu weweKwani wewe na utu uzima wako hujawahi kusikia majambazi yamesimamisha gari kimabavu?
Kumbuka twitter kila mtu huandika anavyojisikia mwenyewe.ambapo wengine huandika uzushi na uongo tu. Ungewaomba wakupe ushahidiKuna sehemu kwenye mtandao wa X nilisoma chanzo kimoja kikidai hao wasiojulikana walikuwa na SMG. Sijui ni ya kuwindia ndege wanaokula mazao!
Benki gani?Ulikuwepo kipindi majambazi yamevamia na kuiba Benki? Je haikuwa ni mjini?haikuwa ni mchana? Au ulikuwa bado Iringa huko gangi longa ukinywa zako maulanzi.
Umeeleweka!! Ulitaka Watanzania wajue alichozungumza Sugu!! Umeanza kujitambuaNdugu zangu Watanzania,
Kwanza ningependa kuendelea kutoa pole kwa wana CHADEMA kwa kifo cha kiongozi wao.najuwa kibinadamu inaumiza , kusikitisha,kuhuzunisha na kutia simanzi.
Lakini ningependa kusema ya kuwa tukio hilo lisifanye kupoteza imani kwa vyombo vyetu vya Ulinzi hususan jeshi la Polisi kama ambavyo tumesikia matamko yakitolewa na viongozi na Makada wa CHADEMA.ni wazi kuwa jeshi letu limepokea na kusikia sauti za watanzania wa vyama vyote na wasio na vyama namna walivyo laani na kukemea tukio hilo na ndio maana tumeshuhudia likiongeza nguvu ya timu nzito kutoka makao makuu kitengo cha upelelezi wa matukio makubwa.
Tumeona pia namna Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan alivyosikitishwa na kuhuzunishwa sana na kutoa amri ya kufanyika kwa uchunguzi wa kina na kupewa taarifa au ripoti juu ya suala hilo.
Lakini ningependa kusema kuwa unapokuwa kiongozi ni lazima na muhimu sana na busara kubwa sana kuchunga ulimi wako au maneno yako au kujizuia kuzungumza unapokuwa katika hali ya hasira,jazba au hali yoyote ile inayoweza kukufanya au kukuchochea kuzungumza jambo au kutoa tamko bila kufikiri zaidi ya kutumia hisia tu.
Ndio maana unapoitwa au kufikia hatua ya kuwa kiongozi ni lazima uwe na kifua,kujizuia kutanguliza hisia zaidi ,uchuje maneno,uwe na subira,utangulize hekima,busara na kuwa na Utulivu wakati wa nyakati ngumu zenye kila aina ya presha ya wafuasi wako au kwa sababu ya tukio fulani.ni lazima uhakikishe ya kuwa unajizuia hisia zako katika kufanya maamuzi au kutoa maneno juu ya jambo fulani.
Sasa nimepita katika ukurasa wa Twitter wa Sugu mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa na kushangaa sana alicho kiandika. Kiukweli sikubaliani nacho kwa sababu kinaleta taharuki, uchochezi, uchonganishi na hofu kwa watu isiyo na ukweli. Ni maneno yanayoonyesha ameandika akiwa na hisia na kukosa utulivu au kufikiria kabla ya kuyaandika.
Kama kiongozi amekosea na amefanya kosa kubwa tu.ameshindwa kujiongoza Mwenyewe na kutawala hisia zake na badala yake hisia zake zimemtawala na kumuongoza,jambo ambalo ni la hatari kwa kiongozi.Maana linakupunguzia ile nguvu ya kuitwa kiongozi Makini.
Maneno yenyewe na ujumbe wenyewe ni huu hapaView attachment 3091831
Sema huyu mseng**** ningekuwa na uwezo wa kumtoa humu ndan ningeshamblock anaboa mpaka roho inauma hakika kizaz chake kina hasara na laaanaSugu yupo sahihi ulitaka aandikeje? Kuna raia wanauwezo wa kusimamisha gari na kumbeba mtu wakiwa na silaha za moto?