Sikubaliani na ujumbe huu wa Sugu unaoleta taharuki na sintofahamu

Acha kuweweseka kijana. Endeleeni tu kuua. Na nyinyi zamu yenu ikifika, hamtakikimbia kifo.
 
Ujinga wangu upo wapi hapo? Nacho pinga ni mtu kutumia hisia badala ya akili
Mnatumia maneno ambayo sidhani kama unajua maana yake, wewe unakipimo cha matumizi ya hisia na akili?

Tuambie ni kivipi Sugu ametumia hisia na hajatumia akili, Tatizo lingine la uchawa ni kuwa kasuku, Kawaida akitamka neno la kijinga unalimeza mazima kwa kudhani mbumbumbu mwenzio ameongea neno la maana.

Grow up!
 
 
Soma ujumbe wake kwa kutulia kiakili halafu uone kama yupo sawa.
 

Yuko sahihi kabisa wewe unatetea uovu wa kiwango cha juu kabisa.
Unaowa refer wote na wewe ukiwemo walikana kuwa nchi hii hakuna utekaji.
 
Uongozi wa Tashriff urudishe nauli kwa kua abiria wake hakufika mwisho wa safari.
 
Hii tabia ya unafiki na kumung'unnya maneno ndo iliyotufikisha hapa.Subiri siku mtoto wako, kaka yako au dada yamkute kama haya - ndo akili.itakaa sawa. Ndo utajua kwa nini binadamu aliumbwa na hisia
 
We ni parasite
 
Raia gani anamiliki SMG za kivita? Raia gani anatumia Land Cruiser farasi mweupe ambazo hazina namba? Raia gani anateka basi mchana kweupe bila kukamatwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…