Sikujua Ali Kiba ni mswahili kiasi hicho

Sikujua Ali Kiba ni mswahili kiasi hicho

Nimeona clip inamuonyesha anavyomkashifu Mond indirect. Kaongea kwa vijembe vya kijinga sana tofauti na HADHI ALIYONAYO KWENYE JAMII
Koma Mswahili na Waswahili.

Waswahili ndiyo waliyokufanya ustaarabike na ujuwe hata kuongea.

Waswahili hatuna tabia za kijinga.

Punguwani wahed.
 
Koma Mswahili na Waswahili.

Waswahili ndiyo waliyokufanya ustaarabike na ujuwe hata kuongea.

Waswahili hatuna tabia za kijinga.

Punguwani wahed.
Ditto!

Hapo nakubaliana nawe.

Tabia mbaya za usengenyaji zisihusishwe na kabila au asili ya mtu.

kama Ali Kiba yuko hivyo, basi hiyo ni tabia yake yeye kama yeye. Haihusu Uswahili.
 
Koma Mswahili na Waswahili.

Waswahili ndiyo waliyokufanya ustaarabike na ujuwe hata kuongea.

Waswahili hatuna tabia za kijinga.

Punguwani wahed.
Mimi niwe mkweli , Nyerere alituunganisha makabila yote hapa Tz na FAIDA KUBWA TULIYOIPATA NI UMOJA NA AMANI. Ila kuna hasara wengine tumeipata ambayo nikuchangamana na baadhi ya makabila yenye tabia za hovyoo sana.

Unakutana na mwanaume ANA VIJEMBE, ANASUTA NA KUCHAMBA KULIKO HATA MWANAMKE. Pia unakutana na MWANAMKE ANA MDOMO MCHAFU YAANI KINYWA CHAKE KUTOA NENO CHAFU NI KAWAIDA.
 
dangote mazee dah
FB_IMG_1727704540043.jpg
 
Mleta mada ni Mswahili Pro, halafu punguza makasiriko ya kiboya, Kwani Daimond hakwenda kwa P Didy? Hawakufanya mambo ambayo ya siri ? Huyo aliyefanya naye mambo ya siri anatuhumiwa na nini? Sasa Ali Kiba kumpiga dongo hasimu wake kwenye muziki kuna shida gani ?punguza ngenga shabiki wa Daimond kama Daimond alifanya mambo ya siri kwanini asipigwe madongo? Kama vipi na yeye ajitokeze kujibu hicho kijembe cha Ali Kiba.
 
Kiba hamnazo yule! Anaweza kuitwa kwenye Interview na katika maswali 10 atakayoulizwa atajibu moja au mawili, mengine yote anasema eti hizo ni personal inshu.
Unaona kabisa hapa hamna mtu
Japo mke wa didy ana yake ila kiba ana nyodo sana kama demu wa kihaya
 
Boss wenu akiulizwa maswali yahusianayo na pididi anajiuma uma sana.

Bila video huo ni uzushi.
 
Alikiba huwa anapenda sana kupretend kuwa ni cool guy asiye na makuu ila kiuhalisia hayupo hivyo.
 
Back
Top Bottom