Sikujua Ali Kiba ni mswahili kiasi hicho

Nimeona clip inamuonyesha anavyomkashifu Mond indirect. Kaongea kwa vijembe vya kijinga sana tofauti na HADHI ALIYONAYO KWENYE JAMII
Hebu tafadhali badilisha kichwa cha habari! ... fikra kama hizi za kudogosha na kudharaulisha uswahili ndo zinazotufanya waafrika tusiendelee.

Mentality ya kitumwa kabisa hii ya kuunasibisha uswahili na upumbavu wa mtu mmoja mmoja!
 
mademu wa kihaya wamekukosea nini 😂 . nimekua nao watatu tofauti walikua wana adabu sana jamani mbona hawakua na nyodo. tena walikua pisi za kwenda.
Ulibahatisha tu zile zinajisikia sana kama shangazi yao, wa mil 10 hela mboga tu
 
sasa kaka yako kashamtolea posa mmoja huko utajua hujui 😂

mmoja alikua akiniuliza una hakika umekula umeshiba wewe. nataka nizikamue zote. arooo hapo napewa mchezo mpaka nasikia kengele zinalia masikioni
 
Kwenye hilo jambo inabidi ufunge mota kiunoni zile ni mashine nyingine kabisa nyodo utapambana nazo hivyo hivyo kibishi
 
Hebu tafadhali badilisha kichwa cha habari! ... fikra kama hizi za kudogosha na kudharaulisha uswahili ndo zinazotufanya waafrika tusiendelee.

Mentality ya kitumwa kabisa hii ya kuunasibisha uswahili na upumbavu wa mtu mmoja mmoja!
Kiswahili ni kizuri sana na ninaiheshimu hii Lugha. Lakini USWAHILI NDIO SIUPENDI . Alichofanya Kiba ni uswahili na anachokifanya Mwijaku ni uswahili pia japo yeye ni Muha
 
Ndo hapo nilipokwambia acha fikra za kitumwa, kubeza uswahili kwa kuushabihisha na matendo yasiyo ya kistaarabu na kinyume chake huwa mnaita "Uzungu" yale matendo ya kistaarabu.

Huo ndo utumwa wenyewe wa fikra, kijidharau kwa kuadharau asili yako na kumtukuza mzungu kwa kutukuza asili yake, Over.
 
Nimeona clip inamuonyesha anavyomkashifu Mond indirect. Kaongea kwa vijembe vya kijinga sana tofauti na HADHI ALIYONAYO KWENYE JAMII
Ukinijbu nitakuona wa maana sana,
hivi mwenye hadhi ni nani?
1.wa kuongea vijembe?
2.au mwenye kufuga mashoga?
 
Back
Top Bottom