Sikujua kama Brigedia anaweza kuwa mlinzi wa Rais na kubeba begi

Zamani kipindi cha Nyerere na Mwinyi tuliona cheo cha Meja na Luteni kanali, akaja Mkapa na Kikwete na JPM natukaona imesogea hadi Kanali. Sasa tunashuhudia Burigedia.

Hii imekaaje wadau
Hizi protocols ambazo tuna weledi wa kushadadia laiti tungejikita hivyo kwenye mambo ya maana uchumi na kukataa rushwa na ufisadi tungekuwa mbali sana kama taifa.

Kipenzi chetu Imaam tusaidie na tuongoze.
 
Zamani kipindi cha Nyerere na Mwinyi tuliona cheo cha Meja na Luteni kanali, akaja Mkapa na Kikwete na JPM natukaona imesogea hadi Kanali. Sasa tunashuhudia Burigedia.

Hii imekaaje wadau
Ni makosa makubwa hata kwa Protokali za Kijeshi. Wanaotakiwa kuwa hapo ni ama Meja au Maluteni Kanali tu pekee.
 
Tan
Zamani kipindi cha Nyerere na Mwinyi tuliona cheo cha Meja na Luteni kanali, akaja Mkapa na Kikwete na JPM natukaona imesogea hadi Kanali. Sasa tunashuhudia Burigedia.

Hii imekaaje wadau
JWTZ haina cheo Cha Brigedia. Sasa hapa sijui unamaanisha nini. Kuhusu Afande Nyamburi sasa hivi ni Brigedia Generali na kiitifaki HATAKIWI kuwa ADC. Atabadilishwa very soon!
 
Back
Top Bottom