Sikujua kama Brigedia anaweza kuwa mlinzi wa Rais na kubeba begi

Hakuna polisi mwenye nyota, ukibisha weka picha.
Mkuu kwahiyo wale Maofisa waliokuwa wameshika vitala kwenye guard ya FFU siku ya mashujaa kwako unawachukuliaje?
Kama ni Mkongwe kwenye vyombo unatambua kuwa kuna wakati huwa kuna kitu kinaitwa kuvaliana nguo kwenye kazi maalum za kitaifa? Unataka kuniambia wale maofisa wa Polisi siku wakivaa kombati za TPDF watavaa vyeo vya Rank and File?
 
Rank and file huwa nakutana nalo sana hili neno,ni general duty au tofauti
 
Back
Top Bottom