Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Kijana usijisahau sanaSIYO KUBEBA BEGI TU HADI VYUPI WATAFURISHWA NA MJAMBIANI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana usijisahau sanaSIYO KUBEBA BEGI TU HADI VYUPI WATAFURISHWA NA MJAMBIANI
Au sio ?Kwa nchi za kiafrika, jeshini ni mahala pa maguvu tu, akili kiduchu. Kwahiyo hata mtu akiwa brigedia anakuwa hajitambui, anaweza kufanyishwa kazi yoyote.
Wenye elimu ya vyeo vya kijeshiZamani kipindi cha Nyerere na Mwinyi tuliona cheo cha Meja na Luteni kanali, akaja Mkapa na Kikwete na JPM natukaona imesogea hadi Kanali. Sasa tunashuhudia Burigedia.
Hii imekaaje wadau
Dharau Hizo kwa jeshi letuKwa nchi za kiafrika, jeshini ni mahala pa maguvu tu, akili kiduchu. Kwahiyo hata mtu akiwa brigedia anakuwa hajitambui, anaweza kufanyishwa kazi yoyote.
Zamani kipindi cha Nyerere na Mwinyi tuliona cheo cha Meja na Luteni kanali, akaja Mkapa na Kikwete na JPM natukaona imesogea hadi Kanali. Sasa tunashuhudia Burigedia.
Hii imekaaje wadau
Hata akiondoka lakini tayari kwa hizi siku mbili tatu anazohudumu kama ADC zitabaki kwenye kumbukumbu kuwa Brgedia Jenerali alishakuwa ADC.Tan
JWTZ haina cheo Cha Brigedia. Sasa hapa sijui unamaanisha nini. Kuhusu Afande Nyamburi sasa hivi ni Brigedia Generali na kiitifaki HATAKIWI kuwa ADC. Atabadilishwa very soon!
Kwamba itabakia kwenye kumbukumbu ni kweli. Kama atabakia kuwa ADC sijui labda kama itifaki za kijeshi zimebadiloka, maana na yeye anatakiwa awe na mlinzi wa kumlinda!Hata akiondoka lakini tayari kwa hizi siku mbili tatu anazohudumu kama ADC zitabaki kwenye kumbukumbu kuwa Brgedia Jenerali alishakuwa ADC.
After all ni nani kakuambia kuwa ataondoka
Niliambiwa jeshini wanaopewa ulinzi ni kuanzia Meja Jenerali tuKwamba itabakia kwenye kumbukumbu ni kweli. Kama atabakia kuwa ADC sijui labda kama itifaki za kijeshi zimebadiloka, maana na yeye anatakiwa awe na mlinzi wa kumlinda!
Hakuna polisi mwenye nyota hata mmoja na mfumo wa vyeo vya polisi hauna nyota.Majeshi yote maofisa wamekuwa wengi sana. Mf polisi wenye nyota ni wengi sana... Wakuu wa vituo naona wengi ni SP wakati nyuma ya 2021 walikuwa ASP!
2030 nyota mbili kushuka chini watabeba SMG kwenda LINDO au masharti ya nyota yataongezeka.
Majeshi yote maofisa wamekuwa wengi sana. Mf polisi wenye nyota ni wengi sana... Wakuu wa vituo naona wengi ni SP wakati nyuma ya 2021 walikuwa ASP!
2030 nyota mbili kushuka chini watabeba SMG kwenda LINDO au masharti ya nyota yataongezeka.
Si kila kitu ukijuwacho duniani, kila unavyokuwa unajifunza mapya. Tumia wakati wako kujifunza mapya kila kukicha, huyamalizi.Zamani kipindi cha Nyerere na Mwinyi tuliona cheo cha Meja na Luteni kanali, akaja Mkapa na Kikwete na JPM natukaona imesogea hadi Kanali. Sasa tunashuhudia Burigedia.
Hii imekaaje wadau
Hakuna polisi mwenye nyota, ukibisha weka picha.Ipo hivi kunapokuwa na ongezeko la maofisa wenye vyeo bac ni kama thamani inashuka hv,mfano police zamani wakuu wa vituo vidogo unakuta ni STAff sergeant au koplo tuu wa kawaida,ila siku hz mkuu wa kituo kidogo ana nyota mpaka mbili,ma OCD wilaya nyingi wana ngao na nyota moja.msemaji wa jeshi alikuwa na cheo cha SACP mwisho,ila sasa hv mpaka ACP au DCP,makamishina wanakuwa hadi na RPC mfano Suleiman kova
FaizaFoxy unaniangusha sasa mdau wangu. Kwenye kila mfumo kuna ukomo wake. Japo mwenye mamlaka ya uteuzi anaweza kukupangia jukumu lolote lile aonavyo yeye au atakavyoshauriwa na watu wake hata kama sio sahihi. Hata akitaka mpambe awe na cheo cha Jenerali kamili inawezekanaMajeshi yote yapo chini ya Amira Jeshi, haijalishi ana cheo kipi, anafanya kazi za Rais.
Sijakuelewa umeandika nini, nusu unakubaliana nami nusu unapingana nami.FaizaFoxy unaniangusha sasa mdau wangu. Kwenye kila mfumo kuna ukomo wake. Japo mwenye mamlaka ya uteuzi anaweza kukupangia jukumu lolote lile aonavyo yeye au atakavyoshauriwa na watu wake hata kama sio sahihi. Hata akitaka mpambe awe na cheo cha Jenerali kamili inawezekana