Sikujua kama customer care ya DSTV ni ya ovyo sana

Ventilator

Member
Joined
May 13, 2018
Posts
12
Reaction score
57
Salaams Wana bodi,

Hawa DSTV nimejiunga kifurushi toka jana mpaka kunakucha nimeshaongea na customer care wanne tofauti tofauti lkn hakuna aliyenitatulia tatizo langu. Kibaya zaidi kilichonikera ni kuniblock namba zangu nisiweze kuwapata tena.

Kesho nanunua king'amuzi cha mtandao mwingine.

Wasalaam
 
Imekuwaje mbona kwangu wako so antentive? Jaribu hii 0784104700
 
Utakuwa unamkomoa nani Sasa!
 
kama ulipiga kuanzia saa 4 usiku kweli usingeweza pata usaidizi ila kama ilikuwa mapema nina imani ungepata usaidizi wa kutosha kabisa.
 
Nakuunga mkono Mkuu. Mimi ni mteja wao wa Muda mrefu lakini nilichofanyiwa nimeamua kuacha kisimbuzi kama kilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…