Sikujua kama customer care ya DSTV ni ya ovyo sana

Sio wewe ni kweli hii inshu imekua ikijitokeza sana tu yaan hata kwangu
 
Tupo wengi, Mimi siku ya tatu hii napuyanga tu. Bora kuwa na internet reliable, nijiunge na mambo ya streaming.
 

Tatizo lako ni nini?
Mbona njia ya kutatua tatizo lako zipo nyingi...?
Unaweza kutumia whatsup, mydstv app, au website yao ama kwa kupitia menu ya simu kwa kupiga *150*53#
Ungesema tatizo ulilopata hapa, ungeweza kusaidiwa vilevile.
 
Yaan Dstv wakublok .aise hii chai mbona kavu sana.
 
Muongo mkubwa wewe punguani mimi toka nimetoka Tanzania nina mwaka wa nne sasa DSTV hawajawahi kunisumbua ninapowapigia kupitia customer care hasa nikijaga bongo likizo niliwaacha azam kwasababu ya uduni wa huduma zao mbovu za customer care nenda kwenye king'amuzi cha maskini wenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…