Sikujua kama madeni yanakosesha usingizi kiasi hiki

Sikujua kama madeni yanakosesha usingizi kiasi hiki

Wakuu,

Kwa mara ya Kwanza ndo naexperience Ile hali ya kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi.

Nilikua naskiaga tu kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu, nina marejesho, bado bills za kulipa bado michango .

Yaani usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawa
Either wewe ni mgeni kwenye kudaiwa au wanaokudai wanakufanyia fujo uwalipe wakati huna cha kuwalipa. Lkn kwa sisi wakongwe wa kukopa na tunapokopa tunachagua watu sahihi wa kuwakopa tunalala usingizi muruwa tunakoroma na kujamba tukajamba bukheri wa hamsa ishirini.

Anyway pole sana mrembo
 
Back
Top Bottom