Sikujua kama madeni yanakosesha usingizi kiasi hiki

Sikujua kama madeni yanakosesha usingizi kiasi hiki

Ndo ukubwa huo, hutakiwi kuogopa madeni.
Buni mbinu uyakabili, usiwaze sana utajiletea matatizo mengine.

Madeni ni kitu cha kawaida maishani, sio ajabu kudaiwa na uzuri ni kua madeni yanazungumzika pia.
Kwenye ulipaji jipe kipaumbele wewe na sio anaekudai, vivyo hivyo kama wewe ni mkopeshaji basi jipe kipaumbele wewe na sio unaemdai.

Always maslahi yako yawe mbele kwanza. Usilipe mpaka ukakosa hela ya kula ukaanza kukopa tena na tena.
Aha
 
Katika vitu naogopa maishani mwangu ni madeni, sidai wala sidaiwi alhamdulillah,
Kuna mdada nafanya nae kazi anapenda kukopa na akishakua anadaiwa ofisi nzima itajua anavyojisemesha, uzuri tushamjua hakuna mtu anayehangaika nae
Basi wewe maisha bora, heri yako.
 
Wakuu,

Kwa mara ya Kwanza ndo naexperience Ile hali ya kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi.

Nilikua naskiaga tu kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu, nina marejesho, bado bills za kulipa bado michango .

Yaani usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawa
Dawa ya deni ni kulipa.dawa ya kukabiliana na deni wakati una piranha kulipa nikuipinga HOFU.kumbuka ukiruhusu hofu ikujenge,itaathiri hata afya yako mwili na akiri.

Kuwa sugu wakati ukifaiti malipo.unajua kunawatu hawana hofu na deni.nikopeshe nikufundishe😀.

Inchi yenyewe inadaiwa hii.nanianakuwaga stress.kuhusu deni la taifa.

Pole upate wepesi wa kulipa.amina
 
Sio usingizi tu nakukonda
Wakuu,

Kwa mara ya Kwanza ndo naexperience Ile hali ya kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi.

Nilikua naskiaga tu kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu, nina marejesho, bado bills za kulipa bado michango .

Yaani usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawasio
 
Ndo ukubwa huo, hutakiwi kuogopa madeni.
Buni mbinu uyakabili, usiwaze sana utajiletea matatizo mengine.

Madeni ni kitu cha kawaida maishani, sio ajabu kudaiwa na uzuri ni kua madeni yanazungumzika pia.
Kwenye ulipaji jipe kipaumbele wewe na sio anaekudai, vivyo hivyo kama wewe ni mkopeshaji basi jipe kipaumbele wewe na sio unaemdai.

Always maslahi yako yawe mbele kwanza. Usilipe mpaka ukakosa hela ya kula ukaanza kukopa tena na tena.
Mhhhhhh
 
Back
Top Bottom