Sikujua kama madeni yanakosesha usingizi kiasi hiki

Wakuu,
Kwa mara YA Kwanza ndo naexperience Ile Hali YA kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi....nlikua naskiaga tu Kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu ...nna marejesho ,bado bills za kulipa bado michango Yan usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawa
Pambana
 
Nilipoleta Uzi kuwaambia mukemee roho ya madeni iliyomwagwa na Ibilisi muliona masihara.
Shetani yuko kazini awauwe watu kiroho halafu amalizie mwili.
Hapo dawa ni kuomba sana vifungo vikatike huku ukipata karama ya NENO LA MAARIFA ushinde hilo pigo
Mungu yupo utashinda
Kanuni za uchumi zimejengwa kwenye madeni,ni ngumu kuendelea bila madeni hasa ukiwa mfanyabishara
 
Wakuu,
Kwa mara YA Kwanza ndo naexperience Ile Hali YA kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi....nlikua naskiaga tu Kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu ...nna marejesho ,bado bills za kulipa bado michango Yan usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawa
Wakuu,
Kwa mara YA Kwanza ndo naexperience Ile Hali YA kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi....nlikua naskiaga tu Kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu ...nna marejesho ,bado bills za kulipa bado michango Yan usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawa
Ungekuwa muislam ningekuelekeza jambo
 
Acha uoga wewe, unachotakiwa ni kupambana

Mi mwenyewe hapa kesho nina rejesho la 62500/= brac

Tar moja nina kodi ya ofice 600000/=

Tar moja tena nina kodi ya nyumba 300000/=

Kabla ya tar 10 nina deni la maji 84000/=

Jumanne nina rejesho lingine asa 25000/=

Maden yoote hayo lakin bado kichwa hata hakiumi

Na saa hz hapa nipo nimechill na wana napiga lost ya kitimoto na ugal nikishushia na bia za kutosha
I like your courage
 
Katika vitu naogopa maishani mwangu ni madeni, sidai wala sidaiwi alhamdulillah,
Kuna mdada nafanya nae kazi anapenda kukopa na akishakua anadaiwa ofisi nzima itajua anavyojisemesha, uzuri tushamjua hakuna mtu anayehangaika nae
 
Back
Top Bottom