Sikujua kama madeni yanakosesha usingizi kiasi hiki

Ahsante tatizo nimejikuta kipind mambo mengi Sana aiseeee
Ndo ukubwa huo, hutakiwi kuogopa madeni.
Buni mbinu uyakabili, usiwaze sana utajiletea matatizo mengine.

Madeni ni kitu cha kawaida maishani, sio ajabu kudaiwa na uzuri ni kua madeni yanazungumzika pia.
Kwenye ulipaji jipe kipaumbele wewe na sio anaekudai, vivyo hivyo kama wewe ni mkopeshaji basi jipe kipaumbele wewe na sio unaemdai.

Always maslahi yako yawe mbele kwanza. Usilipe mpaka ukakosa hela ya kula ukaanza kukopa tena na tena.
 
Ahsante mkuu
 
Kwangu ndo naexperience Kwa Mara YA Kwanza ule uchungu wa madeni
Pole sana, kama huna wewe lala tu wala usiogopee wala kujipa presha,. Ukifika waambie tu kuwa hujapata na umefanya jitihad zote na kama unaweza kuwaonyesha jitihada zako kama uthibitishi fanya hiyo.. wataelewa tu hata kama watajifanya wabishi....

Wala hawawez kukula nyama..

Kikubwa kama unaweza kuwatafuta waden wakonorior to time oianitakua vizur ili kuzuia kufedheshwa..

Lala achana na mawazo wala hayawez kukufanya oesa ndio ije. Sasa bora nini, pesa ukose na bado usingiz pia ukose, huon kama ni double trouble hizo.

Relaaax, SINA HELA, wala maneno yasiwe mengi.

Mimi nina tabia ta kudharau sanaaa matatizonhata siyapagi headlines
 
Serikali yenyewe inadaiwa kina bakhersa wanadaiwa Mimi Ni Nani hatakama nsipokua Mwalimu😅😅
Wakuu,
Kwa mara YA Kwanza ndo naexperience Ile Hali YA kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi....nlikua naskiaga tu Kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu ...nna marejesho ,bado bills za kulipa bado michango Yan usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawa
7d0
😅😅

Acha uoga wewe, unachotakiwa ni kupambana

Mi mwenyewe hapa kesho nina rejesho la 62500/= brac

Tar moja nina kodi ya ofice 600000/=

Tar moja tena nina kodi ya nyumba 300000/=

Kabla ya tar 10 nina deni la maji 84000/=

Jumanne nina rejesho lingine asa 25000/=

Maden yoote hayo lakin bado kichwa hata hakiumi

Na saa hz hapa nipo nimechill na wana napiga lost ya kitimoto na ugal nikishushia na bia za kutosha
 
Kama uko tayari tuwasiliane,,,tukae na tujadili kwa kina,,ni kwa namna gani tuyalipa hayo madeni baadhi unayodaiwa,,Your Welcome Miss Holy Marry!!Shaka Ondoa Nitakupa Maji###Jokes###Ndio Maisha Kaza Binti,,watu wanayao pia wakihadithia hapa,,Utaomba pooh.
 
Wakuu,
Kwa mara YA Kwanza ndo naexperience Ile Hali YA kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi....nlikua naskiaga tu Kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu ...nna marejesho ,bado bills za kulipa bado michango Yan usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawa
Nmetoka kuuza ractis ya mtu no DW kwa 7m kisa rejesho dah
 
Back
Top Bottom