Pre GE2025 Sikujua kama mateso wanayopitia wana CHADEMA ni makubwa kiasi hiki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Tukosema Tanzania kuna maigizo ya upinzani mtuelewe

Tukisema CHADEMA ni kampuni ya watu flani wachache msibishane na sisi


Ushauri wangu kwa wanachadema kuliko kuendelea kuteseka na kuumia rudini nyumbani kama mwana mpotevu

Luka 15:18
Nitaondoka, nitakwenda kwa baba yangu na kumwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako;


KUDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

MUNGU IBARIKI TANZANIA

MUNGU MBARIKI RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
 
🚮 🚮 🚮
 
Acheni kulialia hamna atayewaonea huruma

Chadema wameshindwa kuongoza chama wataweza kuongoza nchi???
Wanabeza ccm kuengua watu wao alafu na wao wanaengua wajumbe wao kisa tu ni wa upande mmoja ule wa chipukizi
 
CCM sifikirii Kama huwa wanategemea kupata kura Kama kura ili kuongoza au kukamata Dola
Mtu Una polisi,
Magereza,
Uhamiaji,
Jeshi la ulinzi,

Green guard

Wote hao unawalipa halafu kuna vigogo kutoka taasisi hizi,

BOT,
TRA,
TPA,
TBS,

Na taasisi zingine nyingi,
Wote hao uwahakikishie mishahara zaidi unadhani unapitia wapi.

Haya kuna NEC na benchi lake hii kitu weka mbali na upinzani ni hatari Kwa afya zao

CCM ni dude fulani kuuubwa kuliko
 
Mlokole umezinduka? Nilifikiri msiba ulikumaliza nguvu kabisa ukaamua kuachana na siasa. Sasa ni wewe na chama tawala tu. Kwenye dhulma na mateso yanayofanywa na watawala Neno halisomi kabisa?
 
Na sisi wananchi ambao Kodi zetu zinazidi kutumika kama Ruzuku na Watawala wanazidi kulamba asali, tunalia wapi au nyumbani ni wapi ?

Na wewe unless ni mlambaji nakusihi hakuna faida ya kula jasho la wengi ila kama na wewe upo katika wale wanaopigwa / pigika na status quo na bado unachekelea hivi basi safari bado ni ndefu.
 
kumbe unafanya propaganda!
 
Wabunge wa Viti Maalum wakati wa shujaa Magufuli waliandika Waraka mzito kuhusu kudaiwa Rushwa ya ngono

Ndio Spika Ndugai akaomba Usalama na Takukuru waingilie Kati

Ndipo Halima Mdee akapendekeza yale Majina 19

Happy New Year 😄
 
Umelogwa sana yaani!
 

Wapinzani makini na imara walitakiwa wawe na uwezo kuwashawishi hao Polisi, Magereza, Uhamiaji, Jeshi la ulinzi,
na vigogo kutoka BOT, TRA, TPA, TBS, wawaunge mkono na kuchukua dola maana Wote ni watanzania.


Acheni kudeka
 
Wabunge wa Viti Maalum wakati wa shujaa Magufuli waliandika Waraka mzito kuhusu kudaiwa Rushwa ya ngono

Ndio Spika Ndugai akaomba Usalama na Takukuru waingilie Kati

Ndipo Halima Mdee akapendekeza yale Majina 19

Happy New Year 😄

Kaka Yohane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…