Sikujua kwa nini vijana wengi wanaichukia ccm.

huyu jamaa anatudanganya coz haiwezekan ye yatima,shule alzosoma st kayumba pia coz yake priority tena sayansi chuo cha gov't asipewe mkopo wakat mi sio yatima,olevel+alevel private,chuo kiu-dar(wachosema cha kizush)..nimepewa pei ndefu kiac kwamba natakiwa nilipe em 2 tu...yan ningekuwa udom nisingelipa hata shiling... na nimeingilia minimum requirement div 3 point 14.....unajua kudanganya sio vizur
 

mshukuru Mungu kwa hilo,ila usiseme ni uongo sio yeye tu wengi tu wamekosa na wana vigezo vyote
 
mtu kapga kata mwanzo mwixho na kakoxa na course yake Education haya majangaaa
 

kaka polen sana inahuzunisha sana wewe n schoolmate wangu kama sio clas mate minaki ,ulkuwa komb mkuu
 
duh pole sana, fuata ushauri uliopewa na wanaothamini utu
 
duh pole sana, fuata ushauri uliopewa na wanaothamini utu
 
Pole sana mkuu,ipo siku utafurahi zaidi ya hao watakuwa wakilia kama wewe! nasikitika nawe ulikuwa bado una imani na ccm! hawa waliishajichagua watu kama wewe hutakiwi huko!
 
nilikuwa naipita tu hii thread kumbe inahuzunisha hivi! MAYATIMA tunajua dhiki tuzipatazo. Kama kweli umefanyiwa unyama kiasi hicho weka wazi namba yako ya form4 na form6 tukusaidie. Wasiwasi wangu ni kwamba wanasiasa wameingilia elimu kwa fujo wakijua watapata wafuasi wa kutosha kwa kutoa taarifa za uongo. To be honest, mi si mfuasi wa chama chochote lakini nimeshuhudia vyama viwili vyenye nguvu tz (ccm na chadema) vikitoa taarifa za uongo kwa umma. Lengo kuu ni kwamba mleta uzi toa uthibitisho usaidiwe, mimi wa kwanza kuungana na wewe kutafuta haki yako. Together we can, we can make it happen!
 
Si kweli kwamba vijana wengi wanaichukia CCM - in fact huko vyuo mnapokwenda tumeweka matawi yetu karibu vyuo vyote vya Tanzania na pia tuna wachama wengi sana vyuoni.

Lakini pia katika hayo matawi umewekwa utaratibu wa kusaidiana kwa hali na mali huku shughuli za kujenga chama zikiwa zenye kipaumbele. Nawasihi mjiunge ili tukijenge chama chetu kwa pamoja (enzi nikiwa chuo nilikuwa muasisi wa uanzishaji wa matawi haya ya UVCCM vyuoni)

Kuhusu mkopo - kwanza nikupe pole kwa kukosa mkopo, ila kabla ujalaumu nadhani ungejigakikishia kwanza kama kila kitu umekamilisha, vitu kama viambatanisho n.k, kwa uelewa wangu mimi, mtoto yatima ni wa kupewa kipaumbele katika utoaji wa mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, kwa kuwa umekosa jaribu kuwasiliana na bodi ili tatizo lijulikane liko wapi na kwa ushauri zaidi waweza kuni-PM.
 
Nitumie index namba yako ya form six na mwaka uliomaliza form six! Na angalia usiwe miongoni mwa wale waliokosea ambao mpaka sasa hawajaja kurekebisha na kukamilisha form zao! Ikiwa hivo hakuna namna ni ww tu kukamilisha form zako! Itabidi uje mpaka ofisi za bodi na kwa sasa tuko mwenge sio msasani tena! Nitumie mda huu!
Nitakujibu!
 
Hawa majamaa hamna ki2,,hawaangalii issue ya preority wala nn,,,,apa nlipo ninaingia 2nd year Petroleum Engineering na sina mkopo kabisa,,niliappeal,,nkakosa na sasa sijui hatma yangu ni nn hadi apa kwa sababu niliapply upya tena na hawa first year,,,,,
 
Ndugu yangu usiseme hivyo kama k2 hakijakukuta.Mimi nina vigezo vya kupata mkopo na ninaingia mwaka wa pili sasa Petroleum Engineering,,coz yangu ni priority na sipati mkopo hata 0%,, na niliappeal,ki2 bila bila,,hivi sasa sijui hatma yangu na niliapply upya mwaka huu.Anachosema kinaweza kuwa na ukweli ndani yake.So usim2humu m2 kwa kuangalia coz alopangiwa kisa ni priorty,,,na siyo mimi 2 kuna marafiki zangu wawili wanapiga applied geology hawana mkopo kabisa na maisha ni shida kweli yan
 
Hii ni hadithi.
Akutajie index namba yake na exam namba pamoja na mwaka aliomaliza shule utacheka.
Amepata mkopo huyo.
Propaganda za kisiasa katika elimu.
Usiwe mweu,,,,,mtu aliepata mkopo anazungumza hivyoooo?au nyie ndio walewale ''chukua chako mapema''lakin mtaondoka tu siku moja,,,,
 
story yako ni touching

kitu ambacho hujui

ccm sio bodi ya mikopo

na sio kila matatizo yanayokutokea basi utafute mtu wa kumpa lawama

huna wazazi wote wa wili ccm inahusika vip

kama unafikiri kukosa boom ndio mwisho wa dunia maybe unahitaji psychological advice

tulia kwanza
kma umeweza ku make 200k kwa kuuza boga basi you can make alot tu kwa hizo hizo mboga

btw kuna watu wana matatizo kuliko yako atleast wew umesoma and u can afford hata pc/phone uliyotumia kuingia JF

usikurupuke dont be swayed by politics bado kinda wewe
 


Pole sana Mwanawanchi,usife moyo nakushauri kata rufaa,mwaka jana mdogo wangu alikosa mkopo tukakata rufaa, tukaambatanisha death certificate ya marehemu baba yetu na kwa bahati nzuri akapewa 80%.Pia sikulaumu kuilalamikia serikali ya Ma_ccm kwakuwa wanashindwa kutoa kipaumbele kwa wahitaji km wewe badala yake wanapewa 100% watu ambao wanauwezo eti kisa wanajuana ama wazazi wao wapo kwenye mfumo huu wakifisadi....Tuungane tumtoe mkoloni mweusi Ccm wao walisomeshwa buree kwa fedha za mkonge,korosho na kodi ya maendeleo.Leo hii wanakusanya kodi za kila aina achia mbali VAT ambayo tunalipa kila tununuapo bidhaa,kuna uwekezaji mkubwa kwenye madini ,wanyamapori na kama haitoshi wameleta simcard tax...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…