kipenga
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 219
- 55
sidhani kama anakuzidi!!
kivipi Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sidhani kama anakuzidi!!
huyu jamaa anatudanganya coz haiwezekan ye yatima,shule alzosoma st kayumba pia coz yake priority tena sayansi chuo cha gov't asipewe mkopo wakat mi sio yatima,olevel+alevel private,chuo kiu-dar(wachosema cha kizush)..nimepewa pei ndefu kiac kwamba natakiwa nilipe em 2 tu...yan ningekuwa udom nisingelipa hata shiling... na nimeingilia minimum requirement div 3 point 14.....unajua kudanganya sio vizur
Ndg zangu nilidhani ni hulka ya vijana tena wa elimu za juu kuichukia ccm,kumbe wengi wanahoja binafsi juu ya hatima ya maisha yao..nimesoma shule ya msingi nansio,secondary nsumba,high school minaki..chuo nilichopangiwa ni UDOM progrm ya Mining engeenering, Pia MIMI SINA WAZAZI WOTE WAWILI,Maisha ya nyumbani ni magumu sana,mimi ndo baba na mama wa wadogo zangu wanne ambao leo tumekesha nao tukilia na kukumbuka wazazi wetu,ni uchungu ule ule wa kuwapoteza wazazi ndo umenirudia tena,nilijua kupata mkopo basi wadogo zangu tungegawana boom na maisha yasonge,niliwaahidi mambo mengi na hamna siku imepita hatujapiga goti kumuomba Mungu akafanikishe maisha yetu,LEO NAONA GIZA NA WADOGO ZANGU WANAONESHA KUKATA TAMAA KABISA NA ELIMU. Nimekuwa nikiuza mbogamboga na matunda na pesa niliyonayo ni sh 200,000/= nilipanga kama ningepata mkopo basi hela hii ningewaachia wadogo zangu nusu nami niondoke na nusu nikijipanga kusubiri boom,lakini mambo yamekuja kivingine kabisa..Leo nimeamini Ng'ombe wa masikini hazai.. Yatima hana rafiki..maskini atabaki kuwa maskini tu.Ndg zangu nilijua serikali ndo ingekuja kuifuta chozi familia yangu lakini kumbe nilijidanganya..ndugu ndo hawajui hata mlango wa nyumba yetu.maisha yamegeuka kuwa mbogo na najuta kuzaliwa(MUNGU ANISAMEHE). Ndugu zangu vijana wenzangu sasa narudi kundiki,mimi na ccm tena basi. Niko tayari kufa kwa kupinga udhandiki wa ccm na serikali yake..niko tayari kuungana na wanyonge wenzangu kupigania taifa langu..na vijana mliopata mkopo msifurahi wakati kuna vijana wenzenu wenye sifa hata pengine zaidi yako wemechinjiwa baharini na serikali hii ya maccm,itakuwa ni dhambi kubwa kufurahi kupata mkopo wakati wenzako wengi wakiwa hawajapewa. Napenda niwahakikishieni kuwa mwaka huu niko tayari kupambana na mashetani hawa wa ccm mpaka kieleweke. Najua kuwa nacte kama wote wamekosa mkopo,2nd year na fresherers, ntarudi na mpango naomba ushirikiano wenu wadau wenzangu kwani sasa niko tayari kung'olewa kucha,bora nife kuliko kubembeleza kupata haki yangu..nukuu ya mh John Mnyika,godbless lema,mbowe,nk(HAKI HAIOMBWI HAKI INATAFUTWA) nimeamua kuitafuta haki yangu na watanzania wenzangu kama mimi waliotupwa kwenye dustbin majina yao..ntarudi tena hapa hapa.
Hawa majamaa hamna ki2,,hawaangalii issue ya preority wala nn,,,,apa nlipo ninaingia 2nd year Petroleum Engineering na sina mkopo kabisa,,niliappeal,,nkakosa na sasa sijui hatma yangu ni nn hadi apa kwa sababu niliapply upya tena na hawa first year,,,,,dah! Kaka umenisikitisha sana. Umenikumbusha machungu yaliyonipata mwaka 2011, yaliyonifanya niahirishe mwaka. Sitaki sana kukumbuka, ila mbona umepangwa priority progrm, what happened? Embu punguza jazba, anza kufuatilia utapata haki yako kaka. Ila hata hivyo hii ni batch ya kwanza, unawezapata ktk batch ya pili.
Ndugu yangu usiseme hivyo kama k2 hakijakukuta.Mimi nina vigezo vya kupata mkopo na ninaingia mwaka wa pili sasa Petroleum Engineering,,coz yangu ni priority na sipati mkopo hata 0%,, na niliappeal,ki2 bila bila,,hivi sasa sijui hatma yangu na niliapply upya mwaka huu.Anachosema kinaweza kuwa na ukweli ndani yake.So usim2humu m2 kwa kuangalia coz alopangiwa kisa ni priorty,,,na siyo mimi 2 kuna marafiki zangu wawili wanapiga applied geology hawana mkopo kabisa na maisha ni shida kweli yanhuyu jamaa anatudanganya coz haiwezekan ye yatima,shule alzosoma st kayumba pia coz yake priority tena sayansi chuo cha gov't asipewe mkopo wakat mi sio yatima,olevel+alevel private,chuo kiu-dar(wachosema cha kizush)..nimepewa pei ndefu kiac kwamba natakiwa nilipe em 2 tu...yan ningekuwa udom nisingelipa hata shiling... na nimeingilia minimum requirement div 3 point 14.....unajua kudanganya sio vizur
Usiwe mweu,,,,,mtu aliepata mkopo anazungumza hivyoooo?au nyie ndio walewale ''chukua chako mapema''lakin mtaondoka tu siku moja,,,,Hii ni hadithi.
Akutajie index namba yake na exam namba pamoja na mwaka aliomaliza shule utacheka.
Amepata mkopo huyo.
Propaganda za kisiasa katika elimu.