Sikujua kwa nini vijana wengi wanaichukia ccm.

Apex

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
425
Reaction score
61
Ndg zangu nilidhani ni hulka ya vijana tena wa elimu za juu kuichukia ccm,kumbe wengi wanahoja binafsi juu ya hatima ya maisha yao..nimesoma shule ya msingi nansio,secondary nsumba,high school minaki..chuo nilichopangiwa ni UDOM progrm ya Mining engeenering, Pia MIMI SINA WAZAZI WOTE WAWILI,Maisha ya nyumbani ni magumu sana,mimi ndo baba na mama wa wadogo zangu wanne ambao leo tumekesha nao tukilia na kukumbuka wazazi wetu,ni uchungu ule ule wa kuwapoteza wazazi ndo umenirudia tena,nilijua kupata mkopo basi wadogo zangu tungegawana boom na maisha yasonge,niliwaahidi mambo mengi na hamna siku imepita hatujapiga goti kumuomba Mungu akafanikishe maisha yetu,LEO NAONA GIZA NA WADOGO ZANGU WANAONESHA KUKATA TAMAA KABISA NA ELIMU. Nimekuwa nikiuza mbogamboga na matunda na pesa niliyonayo ni sh 200,000/= nilipanga kama ningepata mkopo basi hela hii ningewaachia wadogo zangu nusu nami niondoke na nusu nikijipanga kusubiri boom,lakini mambo yamekuja kivingine kabisa..Leo nimeamini Ng'ombe wa masikini hazai.. Yatima hana rafiki..maskini atabaki kuwa maskini tu.Ndg zangu nilijua serikali ndo ingekuja kuifuta chozi familia yangu lakini kumbe nilijidanganya..ndugu ndo hawajui hata mlango wa nyumba yetu.maisha yamegeuka kuwa mbogo na najuta kuzaliwa(MUNGU ANISAMEHE). Ndugu zangu vijana wenzangu sasa narudi kundiki,mimi na ccm tena basi. Niko tayari kufa kwa kupinga udhandiki wa ccm na serikali yake..niko tayari kuungana na wanyonge wenzangu kupigania taifa langu..na vijana mliopata mkopo msifurahi wakati kuna vijana wenzenu wenye sifa hata pengine zaidi yako wemechinjiwa baharini na serikali hii ya maccm,itakuwa ni dhambi kubwa kufurahi kupata mkopo wakati wenzako wengi wakiwa hawajapewa. Napenda niwahakikishieni kuwa mwaka huu niko tayari kupambana na mashetani hawa wa ccm mpaka kieleweke. Najua kuwa nacte kama wote wamekosa mkopo,2nd year na fresherers, ntarudi na mpango naomba ushirikiano wenu wadau wenzangu kwani sasa niko tayari kung'olewa kucha,bora nife kuliko kubembeleza kupata haki yangu..nukuu ya mh John Mnyika,godbless lema,mbowe,nk(HAKI HAIOMBWI HAKI INATAFUTWA) nimeamua kuitafuta haki yangu na watanzania wenzangu kama mimi waliotupwa kwenye dustbin majina yao..ntarudi tena hapa hapa.
 
dah! Kaka umenisikitisha sana. Umenikumbusha machungu yaliyonipata mwaka 2011, yaliyonifanya niahirishe mwaka. Sitaki sana kukumbuka, ila mbona umepangwa priority progrm, what happened? Embu punguza jazba, anza kufuatilia utapata haki yako kaka. Ila hata hivyo hii ni batch ya kwanza, unawezapata ktk batch ya pili.
 
Wanapewa wasiostahili. Umesoma shule za serikali tangu primary na huna wazazi, cozi yako ni ya priority! What happened? Nami nimechukia mno. Na pole kaka.
 
dah! Kaka umenisikitisha sana. Umenikumbusha machungu yaliyonipata mwaka 2011, yaliyonifanya niahirishe mwaka. Sitaki sana kukumbuka, ila mbona umepangwa priority progrm, what happened? Embu punguza jazba, anza kufuatilia utapata haki yako kaka. Ila hata hivyo hii ni batch ya kwanza, unawezapata ktk batch ya pili.

naomba unisaidie jinsi ya kuandika barua ya kuahirisha mwaka
 
duuhh a very moving/touching thread pole sana mdogo wangu Mungu atakusaida usikate tamaa bado una nafasi unaweza uka appeal au ukaaply kwa private sponsors......May the Almighty help you
 
1: Ulitegemea fedha ya boom ndio iwalee wadogo zako? Masikini wa fikra. ungeishije udom?
2: Watanzania tunasaidiana, Ukerewe fursa kibao. samaki(kibao), ardhi rutuba safi( machungwa, maembe, ndizi, nanasi) mnauza kenya mnapata fedha. Huo umaskini umejitakia kwa kubweteka.
3:Ndugu wa baba au mama wanapaswa kuwasaidia ninyi mayatima na sio CCM kama unavyotaka watu waamini.
4:
Wazazi wako wamefariki wakiwa na umri wa kati miaka 40s wote. Kama walikuwa watumishi je mafao yao hamkupewa mjikimu? kama ni wakulima hicho kipande cha shamba mkitumie kuishi. Wageni wanahamia hapo nansio wanatajirika ninyi mnacheza pool. niishie hapa nikuache na riwaya yako. Fursa kijana zitumie.
 
Pole sana ndugu yangu ila embu jaribu kufuatilia wapo ambao huwa wanakosa lakini wakifuatilia wanapata!

Kwa kuongezea tu umemaliza shule mwaka gani?

Na je hawajakupa hata thumni nje ya tution fee?
 
Unatafuta kutukanwa au unawashwa mkunaji hakuna.
 
Maisha bora ndoto
Ajira 1m ni za kufikirika
 
1: Ulitegemea fedha ya boom ndio iwalee wadogo zako? Masikini wa fikra. ungeishije udom?
2: Watanzania tunasaidiana, Ukerewe fursa kibao. samaki(kibao), ardhi rutuba safi( machungwa, maembe, ndizi, nanasi) mnauza kenya mnapata fedha. Huo umaskini umejitakia kwa kubweteka.
3:Ndugu wa baba au mama wanapaswa kuwasaidia ninyi mayatima na sio CCM kama unavyotaka watu waamini.
4:
Wazazi wako wamefariki wakiwa na umri wa kati miaka 40s wote. Kama walikuwa watumishi je mafao yao hamkupewa mjikimu? kama ni wakulima hicho kipande cha shamba mkitumie kuishi. Wageni wanahamia hapo nansio wanatajirika ninyi mnacheza pool. niishie hapa nikuache na riwaya yako. Fursa kijana zitumie.

Kama nakosea Mwenyezi MUNGU anisamehe, Ila wewe ni zaidi ya SHETANI.
 
unaweza kuwa sahihi siku moja mungu akuomgoze kijana....!!!
kama unahisi umefanikiwa kimaisha ipo siku utajua yote hayo...

F...#*@@&k
 
Kama nakosea Mwenyezi MUNGU anisamehe, Ila wewe ni zaidi ya SHETANI.

Hii ni hadithi.
Akutajie index namba yake na exam namba pamoja na mwaka aliomaliza shule utacheka.
Amepata mkopo huyo.
Propaganda za kisiasa katika elimu.
 
Pole sana ndugu yangu ila embu jaribu kufuatilia wapo ambao huwa wanakosa lakini wakifuatilia wanapata!

Kwa kuongezea tu umemaliza shule mwaka gani?

Na je hawajakupa hata thumni nje ya tution fee?

Kapata mkopo huyuuuu! Mtanitukana sana lakini hizi propaganda wakuu.
 
1: Ulitegemea fedha ya boom ndio iwalee wadogo zako? Masikini wa fikra. ungeishije udom?
2: Watanzania tunasaidiana, Ukerewe fursa kibao. samaki(kibao), ardhi rutuba safi( machungwa, maembe, ndizi, nanasi) mnauza kenya mnapata fedha. Huo umaskini umejitakia kwa kubweteka.
3:Ndugu wa baba au mama wanapaswa kuwasaidia ninyi mayatima na sio CCM kama unavyotaka watu waamini.
4:
Wazazi wako wamefariki wakiwa na umri wa kati miaka 40s wote. Kama walikuwa watumishi je mafao yao hamkupewa mjikimu? kama ni wakulima hicho kipande cha shamba mkitumie kuishi. Wageni wanahamia hapo nansio wanatajirika ninyi mnacheza pool. niishie hapa nikuache na riwaya yako. Fursa kijana zitumie.
hivi mtu kama wewe unaishi jamii gani???......mbona huna huruma wewe??.....ningekutukana lakini naona hata matusi nitakuwa nimekuheshimu sana.....
 
Ndg zangu nilidhani ni hulka ya vijana tena wa elimu za juu kuichukia ccm,kumbe wengi wanahoja binafsi juu ya hatima ya maisha yao..nimesoma shule ya msingi nansio,secondary nsumba,high school minaki..chuo nilichopangiwa ni UDOM progrm ya Mining engeenering, Pia MIMI SINA WAZAZI WOTE WAWILI,Maisha ya nyumbani ni magumu sana,mimi ndo baba na mama wa wadogo zangu wanne ambao leo tumekesha nao tukilia na kukumbuka wazazi wetu,ni uchungu ule ule wa kuwapoteza wazazi ndo umenirudia tena,nilijua kupata mkopo basi wadogo zangu tungegawana boom na maisha yasonge,niliwaahidi mambo mengi na hamna siku imepita hatujapiga goti kumuomba Mungu akafanikishe maisha yetu,LEO NAONA GIZA NA WADOGO ZANGU WANAONESHA KUKATA TAMAA KABISA NA ELIMU. Nimekuwa nikiuza mbogamboga na matunda na pesa niliyonayo ni sh 200,000/= nilipanga kama ningepata mkopo basi hela hii ningewaachia wadogo zangu nusu nami niondoke na nusu nikijipanga kusubiri boom,lakini mambo yamekuja kivingine kabisa..Leo nimeamini Ng'ombe wa masikini hazai.. Yatima hana rafiki..maskini atabaki kuwa maskini tu.Ndg zangu nilijua serikali ndo ingekuja kuifuta chozi familia yangu lakini kumbe nilijidanganya..ndugu ndo hawajui hata mlango wa nyumba yetu.maisha yamegeuka kuwa mbogo na najuta kuzaliwa(MUNGU ANISAMEHE). Ndugu zangu vijana wenzangu sasa narudi kundiki,mimi na ccm tena basi. Niko tayari kufa kwa kupinga udhandiki wa ccm na serikali yake..niko tayari kuungana na wanyonge wenzangu kupigania taifa langu..na vijana mliopata mkopo msifurahi wakati kuna vijana wenzenu wenye sifa hata pengine zaidi yako wemechinjiwa baharini na serikali hii ya maccm,itakuwa ni dhambi kubwa kufurahi kupata mkopo wakati wenzako wengi wakiwa hawajapewa. Napenda niwahakikishieni kuwa mwaka huu niko tayari kupambana na mashetani hawa wa ccm mpaka kieleweke. Najua kuwa nacte kama wote wamekosa mkopo,2nd year na fresherers, ntarudi na mpango naomba ushirikiano wenu wadau wenzangu kwani sasa niko tayari kung'olewa kucha,bora nife kuliko kubembeleza kupata haki yangu..nukuu ya mh John Mnyika,godbless lema,mbowe,nk(HAKI HAIOMBWI HAKI INATAFUTWA) nimeamua kuitafuta haki yangu na watanzania wenzangu kama mimi waliotupwa kwenye dustbin majina yao..ntarudi tena hapa hapa.

CCM ni chama ambacho tusipokifuta,,,,,tutatesekana sana wakuu,,,,ni chama ni atali sana,,,,
 
Mmmmmmmmmh, sina la kusema, maana kama mleta mada unamaanisha live kilichokutokea unastahili kujengwa kwanza kisaikolojia,then kiuchumi...Mungu akusaidie
 
Back
Top Bottom