Sikujua kwa nini vijana wengi wanaichukia ccm.

Hawa bodi ya mikopo na ccm kwa kwa ujuma ni shida kubwa, mimi mwenyewe nimepata Civil Engineering, ambayo ni priority na nilisubmit vyeti ya vyifo vya wazazi tena wote wawili, nilijipa matumaini lazima niwe Engineer lakini bodi hata 0% hawajinipa, naamini watu wa bodi hawapo makini kabisa au vigezo gani wanatumia kwenye mean test! Toka jana natafuta cha kujiliwaza nakosa ninapofikria wenzangu tena labda wanamsaada wa wazazi wamepata 100% mimi ambaye sina hata wa kunipa sh. cjapata kitu! Bro tupo wengi lakini tutasoma kwa uwezo wa mungu...
 
hv ww una akili kwl?mwnzko analeta thread yny uzuni unamletea maneno ya taarabu.au mwnz2 unakaa xana uwani!!mwnangu ww choko xana.co cri umeniboa xana.

Taarabu pia hubeba ujumbe, hiyo moja.
pili: mwombaji inawezekana alistahili kupata mkopo lakini ni miongoni mwa waombaji waliokosea kujaza fomu.
mwisho huyu kapata mkopo.
 
Si kweli kwamba vijana wengi wanaichukia CCM - in fact huko vyuo mnapokwenda tumeweka matawi yetu karibu vyuo vyote vya Tanzania na pia tuna wachama wengi sana vyuoni.

Lakini pia katika hayo matawi umewekwa utaratibu wa kusaidiana kwa hali na mali huku shughuli za kujenga chama zikiwa zenye kipaumbele. Nawasihi mjiunge ili tukijenge chama chetu kwa pamoja (enzi nikiwa chuo nilikuwa muasisi wa uanzishaji wa matawi haya ya UVCCM vyuoni)

Kuhusu mkopo - kwanza nikupe pole kwa kukosa mkopo, ila kabla ujalaumu nadhani ungejigakikishia kwanza kama kila kitu umekamilisha, vitu kama viambatanisho n.k, kwa uelewa wangu mimi, mtoto yatima ni wa kupewa kipaumbele katika utoaji wa mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, kwa kuwa umekosa jaribu kuwasiliana na bodi ili tatizo lijulikane liko wapi na kwa ushauri zaidi waweza kuni-PM.

Hammy huyu propaganda tu. Ninaamin kapewa mkopo.
Angekuwa kakosa mkopo asingekimbilia kuilaani CCM.
Huo muda wa maneno yote hayo angeupata wapi? Una wadogo wanne, yatima maskini uandike ngonjera!! Jamani hapana nakataa.
Hata hivyo kati ya waombaji 31,000,000 wamepata 29,000,000 .waliokosa ni wachache sana. bodi wamejitahidi sana.
 
nilikuwa naipita tu hii thread kumbe inahuzunisha hivi! MAYATIMA tunajua dhiki tuzipatazo. Kama kweli umefanyiwa unyama kiasi hicho weka wazi namba yako ya form4 na form6 tukusaidie. Wasiwasi wangu ni kwamba wanasiasa wameingilia elimu kwa fujo wakijua watapata wafuasi wa kutosha kwa kutoa taarifa za uongo. To be honest, mi si mfuasi wa chama chochote lakini nimeshuhudia vyama viwili vyenye nguvu tz (ccm na chadema) vikitoa taarifa za uongo kwa umma. Lengo kuu ni kwamba mleta uzi toa uthibitisho usaidiwe, mimi wa kwanza kuungana na wewe kutafuta haki yako. Together we can, we can make it happen!

Huyu Apex ni mwanasiasa sio mhanga wa heslb.
atakupa namba ya uongo. Tangu jana ameombwa atoe namba index yake hajatoa mpaka sasa. Anatafuta ya uongo huyu.
Dont trust him(confirmed male) niamin.
 
Ccm walikomaa ooh wanafunzi wapewe mikopo,watau wakawa hawataki, walipokubali tena zengwe likaanza. Ikawa ooh mpaka div 1 tu, mara mpaka uwe maskini na sasa hata hao walioitwa maskini hawapati, badala yake awanapeana watoto wa maccm peke yao maskini tunabaki tunakosa fursa za kusoma kwa kukosa pesa.
 
1: Ulitegemea fedha ya boom ndio iwalee wadogo zako? Masikini wa fikra. ungeishije udom?
2: Watanzania tunasaidiana, Ukerewe fursa kibao. samaki(kibao), ardhi rutuba safi( machungwa, maembe, ndizi, nanasi) mnauza kenya mnapata fedha. Huo umaskini umejitakia kwa kubweteka.
3:Ndugu wa baba au mama wanapaswa kuwasaidia ninyi mayatima na sio CCM kama unavyotaka watu waamini.
4:
Wazazi wako wamefariki wakiwa na umri wa kati miaka 40s wote. Kama walikuwa watumishi je mafao yao hamkupewa mjikimu? kama ni wakulima hicho kipande cha shamba mkitumie kuishi. Wageni wanahamia hapo nansio wanatajirika ninyi mnacheza pool. niishie hapa nikuache na riwaya yako. Fursa kijana zitumie.

Easy said than done young man! Your comment reflects your background growing in a privileged class of mafisadi, totally idealistic. Watanzania tunasaidiana kupeana MASHAMBA bure? Ama you are living in the terra nulius era where you find no body's land and "discover" it?

Yaani Unataka ndugu zake wabebe mzigo wa CCM kuwafukarisha watanzania through poor policies that protect mafisadi and "milk-dry" the poor? Mbona unafikiri kinyume?

Unajua watumishi wa umma wa ngazi za chini wanalipwa kiasi gani kama mafao? Are you aware that others die bila kulipwa? Shamba: don't you know that thousands of people are loosing land on daily basis to rich politicians and foreign investors? Lastly, you ridicule mtu kutunza wadogo zake kwa boom but that is a far better choice kuliko mafisadi wanaosomesha watoto wao expensive Schools abroad kwa fedha za kujengea dispensaries while they are sure that hundreds of unborn, innocent kids will die as a result.
 
1: Ulitegemea fedha ya boom ndio iwalee wadogo zako? Masikini wa fikra. ungeishije udom?
2: Watanzania tunasaidiana, Ukerewe fursa kibao. samaki(kibao), ardhi rutuba safi( machungwa, maembe, ndizi, nanasi) mnauza kenya mnapata fedha. Huo umaskini umejitakia kwa kubweteka.
3:Ndugu wa baba au mama wanapaswa kuwasaidia ninyi mayatima na sio CCM kama unavyotaka watu waamini.
4:
Wazazi wako wamefariki wakiwa na umri wa kati miaka 40s wote. Kama walikuwa watumishi je mafao yao hamkupewa mjikimu? kama ni wakulima hicho kipande cha shamba mkitumie kuishi. Wageni wanahamia hapo nansio wanatajirika ninyi mnacheza pool. niishie hapa nikuache na riwaya yako. Fursa kijana zitumie.

Haya ni masimango kwa wkati usio faa, umejiuliza ni kwa nini yeye kakosa ilihali ana sifa za kupata mkopo, na wengine wamepata, usawa upo wapi, au unadhani kwakuwa amezaliwa Nansio/Ukerewe kwenye rutuba basi hana sifa ya kupata mkopo! Ama kweli aliyeshiba hamjali mwenye njaa, ubaguzi ni dhambi kubwa sana wewe ujidhaniaye upo salama,ulishawafikiria watoto wako pindi umauti utakapo kufika. Au CCM itakapong'oka madarakani!

Binafsi sihitaji mkopo kutoka HESLB, nilishapita huko, ila naona si haki kuwanyima hawa wenye uhitaji kwa sasa! Hii mbegu ya chuki dhidi ya CCM kwa hakika itawang'oa na wengi mtakimbia jukwaa hili
 
Si kweli kwamba vijana wengi wanaichukia CCM - in fact huko vyuo mnapokwenda tumeweka matawi yetu karibu vyuo vyote vya Tanzania na pia tuna wachama wengi sana vyuoni.

Lakini pia katika hayo matawi umewekwa utaratibu wa kusaidiana kwa hali na mali huku shughuli za kujenga chama zikiwa zenye kipaumbele. Nawasihi mjiunge ili tukijenge chama chetu kwa pamoja (enzi nikiwa chuo nilikuwa muasisi wa uanzishaji wa matawi haya ya UVCCM vyuoni)

Kuhusu mkopo - kwanza nikupe pole kwa kukosa mkopo, ila kabla ujalaumu nadhani ungejigakikishia kwanza kama kila kitu umekamilisha, vitu kama viambatanisho n.k, kwa uelewa wangu mimi, mtoto yatima ni wa kupewa kipaumbele katika utoaji wa mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, kwa kuwa umekosa jaribu kuwasiliana na bodi ili tatizo lijulikane liko wapi na kwa ushauri zaidi waweza kuni-PM.

Sipendi nionge mengi ila bwana Ham ccm kaa ukijua hao vijana mnaowapata ni mnawapa vijihera vyenu vya EPA na mamilion ya vijana hawataki hata kusikia ccm na wazee mnaowategemea kwenye kura ndio wanazidi kuisha cjui nan atawapigia kura kama labda mtumie wizi wenu wa kura
 
kweli jamii ni tofauti kabisa yan. daima huwa inatokea kutofautiana, huyu anakia huyu anaacheka, YOTE MAISHA. Binafsi siwezi kurupuka na kuanza kuponda chama kilichopo madarakani au vipi, hizo ni propaganda za kisiasa. Serikali ilitangaza waliokosa mkopo ni kama mia tatu na kitu(KATIKA TAARIFA ZA MWANZO KIPINDI BODI WALIFANYA PRESS CONFERENCE) Na mimi nitahakikisha kuwa ni kweli watu wamekosa mkopo hadi batch zingine zitoke. hii ni first batch tu. punguza jazba na anza kujiuliza
(1) Dhima ya vyama vya siasa ni nini?
(2) Ccm haizioni challlenge kutoka vyama vya upinzani? na kama inziona unafikiri inapenda kuona inapondwa? na kama haipendi kwa nini inashindwa kutimiza baadhi ya vitu?
(3) Unadhani hata chama mbadala kitapoingia madarakani kitatimiza matakwwa yote ta wananchi?
(4) Angalia mfano kutoka nchi zingine Isipokuwa Marekani) juu ya mambo haya ya vyama vingi na kinachotokea baada ya hayo mabadiliko.
Binafsi sina ushabiki wa chama chochote hapa Tanzania kwa sababu ni propaganda tu zinazosababisha kujazana chuki na itikadi tofauti tofauti zinazopelekea hadi kuchukiana sisi kwa sisi. wengine wasema vyama hivi vina mahusiano na itikadi za dini na kadhalika. Sina lengo la kukufariji ila naomgea nachokijua na ninafahamu mkopo utapata tu. MATUSI SIPENDI WANAJAMVI ILA RUKSA KUNITOA USHAMABA KWA KILE NISICHOKIJUA, NITAKUWA MSHAMBA KWA SEKUNDE KISHA...........................
 
CCM DAIMA, KIDUM CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Huu ubeti wa mwisho hauna ushirikiano na zile beti nyingine
 
Ccm walikomaa ooh wanafunzi wapewe mikopo,watau wakawa hawataki, walipokubali tena zengwe likaanza. Ikawa ooh mpaka div 1 tu, mara mpaka uwe maskini na sasa hata hao walioitwa maskini hawapati, badala yake awanapeana watoto wa maccm peke yao maskini tunabaki tunakosa fursa za kusoma kwa kukosa pesa.

Waombaji 31,000,000. waliopata 29,000,000 kama hao 29 alfu ni watoto wa maccm maana yake ni ccm basement inaongezeka.
Upotoshaji hautatufikisha mahala salama.
 
Haya ni masimango kwa wkati usio faa, umejiuliza ni kwa nini yeye kakosa ilihali ana sifa za kupata mkopo, na wengine wamepata, usawa upo wapi, au unadhani kwakuwa amezaliwa Nansio/Ukerewe kwenye rutuba basi hana sifa ya kupata mkopo! Ama kweli aliyeshiba hamjali mwenye njaa, ubaguzi ni dhambi kubwa sana wewe ujidhaniaye upo salama,ulishawafikiria watoto wako pindi umauti utakapo kufika. Au CCM itakapong'oka madarakani!

Binafsi sihitaji mkopo kutoka HESLB, nilishapita huko, ila naona si haki kuwanyima hawa wenye uhitaji kwa sasa! Hii mbegu ya chuki dhidi ya CCM kwa hakika itawang'oa na wengi mtakimbia jukwaa hili

Sio masimango. Huo ndio ukweli. CCM na mkopo kuna uhusiano gani? Je ni kweli watumishi wote wa heslb ni CCM? Mbona kuna vijana wengi tu pale?
Ina maana Chadema haina waajiriwa serikalini?
 
1: Ulitegemea fedha ya boom ndio iwalee wadogo zako? Masikini wa fikra. ungeishije udom?
2: Watanzania tunasaidiana, Ukerewe fursa kibao. samaki(kibao), ardhi rutuba safi( machungwa, maembe, ndizi, nanasi) mnauza kenya mnapata fedha. Huo umaskini umejitakia kwa kubweteka.
3:Ndugu wa baba au mama wanapaswa kuwasaidia ninyi mayatima na sio CCM kama unavyotaka watu waamini.
4:
Wazazi wako wamefariki wakiwa na umri wa kati miaka 40s wote. Kama walikuwa watumishi je mafao yao hamkupewa mjikimu? kama ni wakulima hicho kipande cha shamba mkitumie kuishi. Wageni wanahamia hapo nansio wanatajirika ninyi mnacheza pool. niishie hapa nikuache na riwaya yako. Fursa kijana zitumie.

Nampa pole kijana mwenzangu kwanza, namshauri afatilie bodi na haki itapatikana. Wewe ipogolo unashangaa nini kutegemea boom kusaidia wadogo na nyumbeni? Hayo ndomaisha hata mimi nimepitia hivyo.

Mzazi/Wazazi wakisha fariki ktk Tz yetu usitegemee ndugu hata siku moja, mimi pia ni muanga wa hicho kitu hivyo nafahamu fika. Husione ndugu wanawapenda wakati wazazi wako wapo hai, utakuja shangaa siku wakitoweka duniani.

Kuhusu mafao ndousiseme, unafikiri kwenye maofisi kama mzazi wako kafariki na hakuna wakuwasaidia kupata mafao halisi itabaki ndoto. Yametukuta hata sisi hadi leo hii bado wanaona aibu kwamba inakuaje tumeishi hadi leo natunasonga mbele hilihali walitupunja sana mafao ya mzazi wetu? HIVYO KIJANA ipogolo USILOLIJUA LITAKUSUMBUA SANA.
 
Ndg zangu nilidhani ni hulka ya vijana tena wa elimu za juu kuichukia ccm,kumbe wengi wanahoja binafsi juu ya hatima ya maisha yao..nimesoma shule ya msingi nansio,secondary nsumba,high school minaki..chuo nilichopangiwa ni UDOM progrm ya Mining engeenering, Pia MIMI SINA WAZAZI WOTE WAWILI,Maisha ya nyumbani ni magumu sana,mimi ndo baba na mama wa wadogo zangu wanne ambao leo tumekesha nao tukilia na kukumbuka wazazi wetu,ni uchungu ule ule wa kuwapoteza wazazi ndo umenirudia tena,nilijua kupata mkopo basi wadogo zangu tungegawana boom na maisha yasonge,niliwaahidi mambo mengi na hamna siku imepita hatujapiga goti kumuomba Mungu akafanikishe maisha yetu,LEO NAONA GIZA NA WADOGO ZANGU WANAONESHA KUKATA TAMAA KABISA NA ELIMU. Nimekuwa nikiuza mbogamboga na matunda na pesa niliyonayo ni sh 200,000/= nilipanga kama ningepata mkopo basi hela hii ningewaachia wadogo zangu nusu nami niondoke na nusu nikijipanga kusubiri boom,lakini mambo yamekuja kivingine kabisa..Leo nimeamini Ng'ombe wa masikini hazai.. Yatima hana rafiki..maskini atabaki kuwa maskini tu.Ndg zangu nilijua serikali ndo ingekuja kuifuta chozi familia yangu lakini kumbe nilijidanganya..ndugu ndo hawajui hata mlango wa nyumba yetu.maisha yamegeuka kuwa mbogo na najuta kuzaliwa(MUNGU ANISAMEHE). Ndugu zangu vijana wenzangu sasa narudi kundiki,mimi na ccm tena basi. Niko tayari kufa kwa kupinga udhandiki wa ccm na serikali yake..niko tayari kuungana na wanyonge wenzangu kupigania taifa langu..na vijana mliopata mkopo msifurahi wakati kuna vijana wenzenu wenye sifa hata pengine zaidi yako wemechinjiwa baharini na serikali hii ya maccm,itakuwa ni dhambi kubwa kufurahi kupata mkopo wakati wenzako wengi wakiwa hawajapewa. Napenda niwahakikishieni kuwa mwaka huu niko tayari kupambana na mashetani hawa wa ccm mpaka kieleweke. Najua kuwa nacte kama wote wamekosa mkopo,2nd year na fresherers, ntarudi na mpango naomba ushirikiano wenu wadau wenzangu kwani sasa niko tayari kung'olewa kucha,bora nife kuliko kubembeleza kupata haki yangu..nukuu ya mh John Mnyika,godbless lema,mbowe,nk(HAKI HAIOMBWI HAKI INATAFUTWA) nimeamua kuitafuta haki yangu na watanzania wenzangu kama mimi waliotupwa kwenye dustbin majina yao..ntarudi tena hapa hapa.

tupo college moja ,vuta subira barabara ni moja kikubwa andaa vielelezo vyote utapata utakacho ila kuna serikali nyingine itakuja sio hawa wenye vitambi vya dhambi.
 
Sio masimango. Huo ndio ukweli. CCM na mkopo kuna uhusiano gani? Je ni kweli watumishi wote wa heslb ni CCM? Mbona kuna vijana wengi tu pale?
Ina maana Chadema haina waajiriwa serikalini?

CCM inahukumiwa kwa sababu ndiyo inayoongoza serikali, hata hizi sera za mikopo ya elimu ya juu ni sera yao, hata kama ni mbaya ni lazima itekelezwe hata kama mtekelezaji ni wa CHADEMA, hivyo kwa malalamiko haya ya watanzania yangefanyiwa kazi wala mtu asingelalamikia CCM?
 
1: Ulitegemea fedha ya boom ndio iwalee wadogo zako? Masikini wa fikra. ungeishije udom?
2: Watanzania tunasaidiana, Ukerewe fursa kibao. samaki(kibao), ardhi rutuba safi( machungwa, maembe, ndizi, nanasi) mnauza kenya mnapata fedha. Huo umaskini umejitakia kwa kubweteka.
3:Ndugu wa baba au mama wanapaswa kuwasaidia ninyi mayatima na sio CCM kama unavyotaka watu waamini.
4:
Wazazi wako wamefariki wakiwa na umri wa kati miaka 40s wote. Kama walikuwa watumishi je mafao yao hamkupewa mjikimu? kama ni wakulima hicho kipande cha shamba mkitumie kuishi. Wageni wanahamia hapo nansio wanatajirika ninyi mnacheza pool. niishie hapa nikuache na riwaya yako. Fursa kijana zitumie.
Kaka kuwa mbunifu acha kuharisha hovyo humu!!!!
 
Back
Top Bottom