Sikujua tumefikia mpaka kazi ya Uchawa unatakiwa Kutuma maombi ya barua na CV.

"Kila kona watu kibao"-wateule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitume kijana bado una nguvu achana na hizo issue ameraaniwa amtegemeaye mwanadamu
 
Aloo ni hatari chief sijui tutakimbilia wapi kila kona ni ngumi ya usoπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…