Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Hakuna kilichonikera zaidi ya masikitizo tuu, maisha yenyewe ni jogging tosha
Nakubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kilichonikera zaidi ya masikitizo tuu, maisha yenyewe ni jogging tosha
Sijawahi kupata muda wa kufanya jogging hata pekeanguIngewezekana kuishi bila kufanya kazi nadhani wengi tungeenda huko
Hujataka tuu...kwako wewe sio priority ndio maanaSijawahi kupata muda wa kufanya jogging hata pekeangu
Muda ndugu, kazi yenyewe ni joggingHujataka tuu...kwako wewe sio priority ndio maana
Kazi ndio hiyo sasa, tatizo kikariri sio lazima kila mtu afanye kazi kama hiyo yako.Yani hapo pa ''wanawake watakuja ila wenye hela"....
Vijana wamebweteka, hawataki kufanya kazi...
Wanawaza kitonga tu kwa majimama...