Sikujua vikundi vya 'jogging' watu wanatumia kutongozea wanawake!

Yani hapo pa ''wanawake watakuja ila wenye hela"....

Vijana wamebweteka, hawataki kufanya kazi...

Wanawaza kitonga tu kwa majimama...
Kazi ndio hiyo sasa, tatizo kikariri sio lazima kila mtu afanye kazi kama hiyo yako.
=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…