"Sikukuu/sherehe imefana sana". Nini kigezo chako kikubwa ktk kutoa hii kauli??

"Sikukuu/sherehe imefana sana". Nini kigezo chako kikubwa ktk kutoa hii kauli??

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Nini huwa ni kigezo chako kikubwa kinachopelekea wewe kusema "sikukuu/sherehe fulani imfana?"
Je, ni
a)- kupiga msosi mzuri?
b)- kuvaa nguo mpya au kuvaa vizuri?
c)- kutoka out na marafiki?
d)- kupata mpenzi mpya au kufanya ngono sana?

Au kitu gani?
 
Kila mtu na expectations zake, mwengine inaweza kuwa A mwingine b, mwingine c mwingine both A-D mwingine non of the above, mwingine kuimaliza sherehe bila kukwazika au kughadhibika kwake tayari kitu kimefana
 
Hayo mambo uliyoorodhesha yanafanyika/patikana kila wakati sio lazima sikukuu. Mimi sikukuu nainjoi tu kutokwenda job kama ni siku za kazi. Sikukuu zinazoangukia wkends siinjoi kabisa
 
Back
Top Bottom