Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Kichwa kinasema "Umefumani";Hivi unajua maana ya kufumania kweli wewe???.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njema habari yako!We bidada za miaka?
Salama tu naona unampooza machungu mwenzetu ....Njema habari yako!
Ndiyo hivyo kufarijiana ndiyo ujirani mwema si kuchochea maumivu ha ha ha, atulie kwanza .Salama tu naona unampooza machungu mwenzetu ....
Huna mahindi ya kutafuna Army worm?Kichwa kinasema "Umefumani";Hivi unajua maana ya kufumania kweli wewe???.
Yap....Kwamba asingekuwa single mother asingekuwa na mwanaume mwingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli tafuta ili utulie, na maisha yaendelee kwa amani!
Harudiwi Ila anafanywa NYEG* REMOVER basi.Pole yake ila punguza ukali wa maneno basi, na kama utamrudia basi sahau yaliopita [emoji28]
Braza umesoma hiyo nyuzi..??Demu kakuona mkono wa birika, kakutafutia gia ya kukutema mzee wa free P, mpenda Kitonga.
Every woman is a crazy dog except your mother.Tuacheni na dada zetu jamani, mkuu wewe limekukuta hili lakini haimaanishi wote wako hivyo.
Ogopa single mothers.Ni wazoefu wa mengi!Happy Ole Sabaya Day..!!
Nimemfumania mpenzi wangu halafu SINGO MAZA.
Leo napokea simu ya mpenzi Ila sauti ya kiume..!!
Kuongea anasema ""niachane na mpenzi wake"".
Nikamuuliza "mmeanza lini huo upenzi?"
Nikajibiwa "ni miezi mi4 sasa"
Ila Mimi nimeanza nae tokea April/2019, nae akashangaa..!!!
Dah...
Mwanamke mwenyewe ni Singo maza.
Nilijitoa kwake Ila kumbe ni mgawa mbunye.
Haya bana mimi NIMEMWACHIA tu aendelee.
Halafu mtu anasema eti ""Singo maza wanajielewa..!!""
Tukiwa hit and run tunasemwa.
Tukitulia na kuwapenda WANAVIMBA KICHWA..!!
Bora nifate ushauri wa joka jeusi tuu...
Ngoja nitafute BIKRA NIOE.
#YNWA
Angalia asije kuwa kaja amejiandaa ile kujaribu unanasa, bora kama umeamua kumuacha muache tuView attachment 1785602
Huyu Singo maza anaiona Mimi ni mtoto sanaa, anasahau Nina Miaka zaidi ya 30 sasa.
Ngoja baadae nimwite nimpime Ngoma, then nisuguee mbunyee leo na kesho (weekend).
Then juma3 niende kazini mwepesi.
Ila HATOONA HATA centi yangu.
Akichoka kusuguliwa for free ataondoka.
Alipendwa akazingua.
Then in every action there is equal and opposite reaction.
She did an action is my time for reaction.
NB:-
Kupima ukimwi MUHIMU.
#YNWA
Ulijiuliza/ulipeleleza kujua kwa nini uliachwa?Nishaolewa mkuu ila nilipata mtoto kabla ya kuolewa....hivyo bado naumia kwanini tunadharaulika ivi ingali wasababishaji ni nyie wenyewe
Kama ulijitoa na ukatendwa, pole ndugu yangu.Braza umesoma hiyo nyuzi..??
Unajua maana kujitoa kwa MTU?
Bro millenial women HAWARIDHIKI hataa uwape contena la hela.
#YNWA
Ila masingo maza watamu sana....kuna vitu mwilini vishakua flexible utamu unaongezeka maradufuKwamba asingekuwa single mother asingekuwa na mwanaume mwingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yap....
Singo maza Wana bet sanaa.
HAWAJUI nani atawaoa then huwa wanaweka BOTH TEAM TO SCORE.
Their future is much uncertain.
#YNWA
Angalia asije kuwa kaja amejiandaa ile kujaribu unanasa, bora kama umeamua kumuacha muache tu
Ila masingo maza watamu sana....kuna vitu mwilini vishakua flexible utamu unaongezeka maradufu