Kwani nyie mlipomkabidhi timu tapeli yule na familia yake tuliwahoji? Kwaiyo na yanga tutamkabidhi tu wala akuna baya kama mnajinyonga na mjinyonge vizuri
bila hao jamaa yanga wangekuwa kwenye hali ngumu na wangeendelea kuwa kwenye hali ngumu.
Sasa hivi hauwezi kusikia yanga wachezaji wamegoma kisa mishahara.hata wachezaji waliosajiliwa ni wa viwango.
Kwa. Hyo Wana stahili GSM kupewa sifa