Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Kwani nyie mlipomkabidhi timu tapeli yule na familia yake tuliwahoji? Kwaiyo na yanga tutamkabidhi tu wala akuna baya kama mnajinyonga na mjinyonge vizuriWenye Yanga yetu tunaenda na Msomi Dk. Mshindo Mbwete Msolla na siyo Matapeli wengine halafu ni wana Simba SC kindakindaki.
Tutanuniana sana Mwaka huu.