Sikumjua baba yangu

uHapana niko nakuchabo tu bos wangu
mi nataka umind ili tukorofishane si hatujuani ugomvi tunauhamishia kwenye mizimu, tuone mizimu yanani ni mikali...🤣
[/QUOTE]
🤣🤣🤣🤣 Aisee 🙌
 
yamekua haya kwa hiyo umekubali umeshindwa sio
sijashindwa na hata hatushindani hapa ila tu legea kidogo umekaza mno hujui soko limeharibika utakosa shauri yako...🤣
 
sijashindwa na hata hatushindani hapa ila tu legea kidogo umekaza mno hujui soko limeharibika utakosa shauri yako...🤣
uliambiwa najiuza? hata sijali mradi nakula nashiba hizo zingine sio shida zangu
 
shukrani sana,Umenikumbusha zamani nilikuwa mpenzi wa gazeti la JITAMBUE la marehemu Munga Tehenani, kulikuwa na makala iliyoitwa iliyoitwa 'NILIVOFEDHEHEKA', watu wakieleza visa vyao vya kweli kama hicho ulichoandika na tulijifunza vingi kupitia makala hizo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…