Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Waliosema muda ni mwalimu mzuri wala hawakukosea, wakati wa mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Chadema sikutaka Lisu ashinde niliunga mkono Mbowe atosha.
Lakini kama unavyojuwa muda sasa unaongea kumbe siasa za maridhiano ni mradi wa watu wachache chamani huku Watanzania wengi wakiendelea kuteswa na ccm na kukata tamaa ya kushiriki tena uchaguzi.
Ukifuatilia kwa makini hoja za Njaa 55 utagunduwa kikubwa wanachojari wao ni madaraka na ruzuku na matumbo yao na familia zao.
Mtu anadiriki kusema eti tusiposhiriki uchaguzi ruzuku tutapata wapi?
Hii maana yake ni rahisi sana kumbe kuna watu wana malengo yao binafsi na siyo kuing'oa ccm ijae pembeni ndio maana kuna kundi la watu wajinga wanawaza maisha baada ya uchaguzi.
Sasa nawauliza swali ccm wakiendesha uchaguzi kama alivyofanya Magufuli na mkaachiwa mbunge mmoja kuhalalisha haram mtalalamika? Mtasema mmeibiwa kura?
Lisu kamatia hapohapo shoka kwenye shina hata ccm wanaitaka reform ili wajifunze kusimamisha wagombea wanaokubalika kwenye jamij yao badala ya kutegemea rushwa.