Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,713
- 5,328
Zamani, ila sasa amerejeaMatola karibu kundini.....Mimi nakufahamu umekuwa mpinzani sana wa TL
Zamani, ila sasa amerejeaMatola karibu kundini.....Mimi nakufahamu umekuwa mpinzani sana wa TL
Tunampa TanoZamani, ila sasa amerejea
Baki hukohuko kwenye Dunia yako unakoishi, mambo ya Lissu katika dunia yetu hayakuhusu ndo maana humjui!! na hatakusadia chochote kwenye dunia yako.🤔🤔🙏Lissu ndio nani tena huko Tanzania
Ni msimimo wa VILAZA.Msimamo wa G55 ni No Reform, Yes Election ,weird uunh!
Pepo mchafu?Lissu ndio nani tena huko Tanzania
Namanyere ndani ndaniarudi Tanzania akitokea wapi
Ni hivi,Binafsi natamani kujua, namna gani hiyo No reforms No election itakuwa implemented...hilo tu!!