Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
njaa55 kumbafu zao kabisaWaliosema muda ni mwalimu mzuri wala hawakukosea, wakati wa mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Chadema sikutaka Lisu ashinde niliunga mkono Mbowe atosha.
Lakini kama unavyojuwa muda sasa unaongea kumbe siasa za maridhiano ni mradi wa watu wachache chamani huku Watanzania wengi wakiendelea kuteswa na ccm na kukata tamaa ya kushiriki tena uchaguzi.
Ukifuatilia kwa makini hoja za Njaa 55 utagunduwa kikubwa wanachojari wao ni madaraka na ruzuku na matumbo yao na familia zao.
Mtu anadiriki kusema eti tusiposhiriki uchaguzi ruzuku tutapata wapi?
Hii maana yake ni rahisi sana kumbe kuna watu wana malengo yao binafsi na siyo kuing'oa ccm ijae pembeni ndio maana kuna kundi la watu wajinga wanawaza maisha baada ya uchaguzi.
Sasa nawauliza swali ccm wakiendesha uchaguzi kama alivyofanya Magufuli na mkaachiwa mbunge mmoja kuhalalisha haram mtalalamika? Mtasema mmeibiwa kura?
Lisu kamatia hapohapo shoka kwenye shina hata ccm wanaitaka reform ili wajifunze kusimamisha wagombea wanaokubalika kwenye jamij yao badala ya kutegemea rushwa.
Matola karibu kundini.....Mimi nakufahamu umekuwa mpinzani sana wa TLWaliosema muda ni mwalimu mzuri wala hawakukosea, wakati wa mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Chadema sikutaka Lisu ashinde niliunga mkono Mbowe atosha.
Lakini kama unavyojuwa muda sasa unaongea kumbe siasa za maridhiano ni mradi wa watu wachache chamani huku Watanzania wengi wakiendelea kuteswa na ccm na kukata tamaa ya kushiriki tena uchaguzi.
Ukifuatilia kwa makini hoja za Njaa 55 utagunduwa kikubwa wanachojari wao ni madaraka na ruzuku na matumbo yao na familia zao.
Mtu anadiriki kusema eti tusiposhiriki uchaguzi ruzuku tutapata wapi?
Hii maana yake ni rahisi sana kumbe kuna watu wana malengo yao binafsi na siyo kuing'oa ccm ijae pembeni ndio maana kuna kundi la watu wajinga wanawaza maisha baada ya uchaguzi.
Sasa nawauliza swali ccm wakiendesha uchaguzi kama alivyofanya Magufuli na mkaachiwa mbunge mmoja kuhalalisha haram mtalalamika? Mtasema mmeibiwa kura?
Lisu kamatia hapohapo shoka kwenye shina hata ccm wanaitaka reform ili wajifunze kusimamisha wagombea wanaokubalika kwenye jamij yao badala ya kutegemea rushwa.
Ruzuku haiwahusu wao G55 kwakua sio viongozi wa chama ruzuku inawahusu viongozi wakuu wa chama....lissu ameshindwa kujibu hojaWaliosema muda ni mwalimu mzuri wala hawakukosea, wakati wa mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Chadema sikutaka Lisu ashinde niliunga mkono Mbowe atosha.
Lakini kama unavyojuwa muda sasa unaongea kumbe siasa za maridhiano ni mradi wa watu wachache chamani huku Watanzania wengi wakiendelea kuteswa na ccm na kukata tamaa ya kushiriki tena uchaguzi.
Ukifuatilia kwa makini hoja za Njaa 55 utagunduwa kikubwa wanachojari wao ni madaraka na ruzuku na matumbo yao na familia zao.
Mtu anadiriki kusema eti tusiposhiriki uchaguzi ruzuku tutapata wapi?
Hii maana yake ni rahisi sana kumbe kuna watu wana malengo yao binafsi na siyo kuing'oa ccm ijae pembeni ndio maana kuna kundi la watu wajinga wanawaza maisha baada ya uchaguzi.
Sasa nawauliza swali ccm wakiendesha uchaguzi kama alivyofanya Magufuli na mkaachiwa mbunge mmoja kuhalalisha haram mtalalamika? Mtasema mmeibiwa kura?
Lisu kamatia hapohapo shoka kwenye shina hata ccm wanaitaka reform ili wajifunze kusimamisha wagombea wanaokubalika kwenye jamij yao badala ya kutegemea rushwa.
Lile jibu la Dr JPM( RIP) akiwa Rufiji linakufaaLissu ndio nani tena huko Tanzania
Naunga mkono hojaMsimamo wa G55 ni No Reform, Yes Election.
Sasa wanasahau kwamba hakuna jambo linalofanyika kuwa imara pasipo misingi, uchaguzi wa kidemokrasia msingi wake ni uhuru na haki...
Nashukuru sana wewe ni mkweli, kipindi cha vuguvugu la uchaguzi nilindwa kukuelewa.Waliosema muda ni mwalimu mzuri wala hawakukosea, wakati wa mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Chadema sikutaka Lisu ashinde niliunga mkono Mbowe atosha.
Lakini kama unavyojuwa muda sasa unaongea kumbe siasa za maridhiano ni mradi wa watu wachache chamani huku Watanzania wengi wakiendelea kuteswa na ccm na kukata tamaa ya kushiriki tena uchaguzi.
Ukifuatilia kwa makini hoja za Njaa 55 utagunduwa kikubwa wanachojari wao ni madaraka na ruzuku na matumbo yao na familia zao.
Mtu anadiriki kusema eti tusiposhiriki uchaguzi ruzuku tutapata wapi?
Hii maana yake ni rahisi sana kumbe kuna watu wana malengo yao binafsi na siyo kuing'oa ccm ijae pembeni ndio maana kuna kundi la watu wajinga wanawaza maisha baada ya uchaguzi.
Sasa nawauliza swali ccm wakiendesha uchaguzi kama alivyofanya Magufuli na mkaachiwa mbunge mmoja kuhalalisha haram mtalalamika? Mtasema mmeibiwa kura?
Lisu kamatia hapohapo shoka kwenye shina hata ccm wanaitaka reform ili wajifunze kusimamisha wagombea wanaokubalika kwenye jamij yao badala ya kutegemea rushwa.
Inasikitisha sanaDemokrasia inachosha sana. Mbaya zaidi ni kuwa ni mfumo unaoreward wanafiki, waongo na watu corrupt. Haijaanza leo. Enzi za Roma kulikuwa na ndugu wawili, Tiberius Gracchus na Gaius Gracchus. Walihubiri mabadiliko kuelekea haki na usawa. Waliishia kuuwawa kinyama wote wawili.
Wanajua fika kuea hawatashinda.Hao G54 maana yule wa Tabora aliwakana, kwa kweli wamejidhalilisha sana na ndiyo maana Lissu kwa hekima alisema wasikatiwe tamaa ni kauli ya kidiplomasia kuwa jitafakarini
Yaani hao jamaa wameshindwa kuona ya uchaguzi wa serikali za mitaa wakaamini uchaguzi mkuu kutakuwa na tofauti, kuwa na kiongozi ambaye hawezi kuforesee ni mzigo mzito sana maana hawezi kuona yaliyo mbele zaidi ya pua yake
Ni mchumia tumbo tu ndiye atasema atashiriki hivyo hivyo. Na hiki ndio kipimo kama wanasiasa ni watu au wahuni tu.Trend ya 2019, 2020, 2024 inatisha.
Hakuna mtu mwenye akili timamu na nia njema anayeweza kushiriki uchaguzi nchini.