Sikumuelewa Lissu na wala sikumuunga mkono awe Mwenyekiti lakini sasa nakubaliana naye 100%

LISSU yuko sahihi sana, Watanzania tulio wengi tunamuelewa sana, Tumechoka na wanasiasa Madalali kina Mbowe,
Hawa Njaa 55 wanatumiwa na CCM ili wavuruge Chadema lakini sisi wananchi tumewastukia mapema sana,
 
Tulimwamini Mbowe sana kumbe muhalifu Mkuu wa Demokrasia

Ndiye mnufaika Mkuu wa pesa haramu

Afadhali Mzee Lyatonga aliweka Wazi yeye ni ccm
 
Hongera Mkuu, umejikombia kifikra umekua kiumbe kipya
 
Hivi huyu John Mrema alizunguka na Lowasa nchi nzima kwenye kampeni, mnataka kuniambia amekosa hata akili ya kuwa na kamradi ka kumuingizia pesa anataka maisha yake yote ayaendeshe kupitia Chadema?
 
Hongera sana kwa kufunguka.

Nisamehe pia nilikubabua sana humu wakati unaleta maneno yako ya shombo.

Tusimame imara nchi hii ipate siasa safi ambazo zitatupatia Viongozi safi wanaowajibika kweli kwa Wananchi.

Tumuunge mkono Lissu na Heche. Tuiunge mkono Chadema yao.

Tanzania tukiwa na Viongozi wanaowajibika kweli kwa wananchi wasio matapeli tukiongozwa na mifumo imara iliyowekwa na Katiba Mpya nzuri yenye Sheria Bora za Uchaguzi tutafika mbali sana kimaendeleo
 
na kama CCM watajua ya kwamba Chadema wapo kwenye uchaguzi kwa sababu ya kupata ruzuku, watafanya kila hila wakose hiyo ruzuku.

Maana yake wanachadema wote wanao target kuingia kwenye uchaguzi ili kutega ruzuku hata hawajitambui
Nilichokuuliza gundua njaa 55 wanataka Chadema ishiriki uchaguzi wakijua utafanyika uhuni kama wa mwaka jana2024 na Chadema haitapata mgombea hata mmoja! Mwishowe chama kitashindwa kuaminika tena na wananchi. Na uongozi kuonekana umeshindwq kazi na Lissu kuonekana hafai kuwa mwenyekiti.
 
Umetumia akili yako kuwaza kitunduizi! Lengo ni kuifanya CHADEMA ishindwe na isiaminike tena kwa watanzania.
 
Tupo pamoja na Lissu, Mbowe was a Broker kama alivyo ZZK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…