algorithim
JF-Expert Member
- Aug 29, 2016
- 878
- 909
na huu ndio utakua mwisho wa diamond kupata wototo..Watoto wote(tiffah&nillah) si wake mwanaume mwenzake aliyekua anampiga tafu kuzaa amefariki,....ovaaaa...Sijui ni macho yamgu au vipi! Wenzangu vipi mumemuona huko mzee Wa wasafi? Au alituma mwakilishi yeyote?
Mond kwani hana uzazi?!na huu ndio utakua mwisho wa diamond kupata wototo..Watoto wote(tiffah&nillah) si wake mwanaume mwenzake aliyekua anampiga tafu kuzaa amefariki,....ovaaaa...
Ni kweli kaka[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mpaka huu msiba uishe wengi wenu mtakuwa mmeachwa na waume zenu maana hata mapishi sasa hayapikiki mko busy kufuatilia msiba nchi jiran
Kwani hakuna wanaume wengine?na huu ndio utakua mwisho wa diamond kupata wototo..Watoto wote(tiffah&nillah) si wake mwanaume mwenzake aliyekua anampiga tafu kuzaa amefariki,....ovaaaa...
Uwakilishi Wa Tanzania [emoji15] shabaaash .Kulikuwa na haja ya uwepo wa Diamond Uganda kwa sababu hizi mbili
1.Ivan ni mme mwenza
2.Uwakilishi wa Tanzania katika mazishi.
Zari ana jumla ya thread ngap na mimi huko kote nipo..?Sa kama hufatilii mambo ya watu umejuaje watu wanafatilia msiba? Mbona upo kwenye kila thread ya zari?
Cku sepenga akizaaa na domona huu ndio utakua mwisho wa diamond kupata wototo..Watoto wote(tiffah&nillah) si wake mwanaume mwenzake aliyekua anampiga tafu kuzaa amefariki,....ovaaaa...
Umbea mtamu na unaupenda ila unajishaua, mpikie mmeo piaZari ana jumla ya thread ngap na mimi huko kote nipo..?
pikia mumeo achana na habari za mdada mwenzako.
We umejuajeAskanyage mazikoni, huyo ni rival wake, akikanyaga mazikoni yawezekana akavaliwa na mzimu wa mgovi wake. Na ataweza kupooza au kufa ndani ya miezi mitatu. Asiende ni noma.
Nimejuaje!. Kwani wewe hili hulifahamu? Wengi hufa kwa magonjwa yasiyojulikana, kwa kuhudhuria mazishi ya watu waliokuwa wakiwalia wake zao. Kama huamini nenda kaulize babu na bibi zako jibu utapewa.We umejuaje
zari amejiegesha kwa domo kwa kua anajua hana kizazi...Hatapenda kuzaa na dume jingine kwa kua mume wake wa halali kafariki na alikua hana dhumuni la kuzaa na rijali mwingine zaidi ya mumuwe..,,, huyu domo ni tia maji tia maji tuu..ovaaaa...Kwani hakuna wanaume wengine?
Ala Kumbe inaelekea uko karibu sana na Zari kakusimulia yote hayo!zari amejiegesha kwa domo kwa kua anajua hana kizazi...Hatapenda kuzaa na dume jingine kwa kua mume wake wa halali kafariki na alikua hana dhumuni la kuzaa na rijali mwingine zaidi ya mumuwe..,,, huyu domo ni tia maji tia maji tuu..ovaaaa...
ππππππππππππAla Kumbe inaelekea uko karibu sana na Zari kakusimulia yote hayo!